hadi kufikia, tarehe 01 february 2012, Rais wa sasa wa Tanzania amesafiri mara 322 nje ya nchi.
Ukizidisha io idadi ya tripu/safari (322) kwa wastani wa siku 4 kwa kila tripu/safari, utapata jumla ya siku 1288 ukizigawa kwa siku 365/366 (siku za mwaka mmoja) utapata miaka 3.5 (yaan miaka 3 na miezi 6) Rais amekaa nje ya mipaka ya Tanzania.
Kwakuwa Rais JK ameingia madarakani mwaka 2005 na had sasa mwaka2012 amekaa madarakani kwa miaka 6. Kwaiyo Rais amekaa nje ya nchi zaidi ya nusu ya muda wake wote aliokaa katika nafasi ya urais(3.5 years out of 6 years).
je Raisi hajavunja rekodi ya kuingizwa katika guiness book of records ya dunia? yan Rais amekaa nje ya nchi yake kuliko marais wote wa dunia? Rais gan amemzidi Raisi wetu?
Je, tumepata jibu la kwanini Rais mara nyingi husaini nyaraka feki kwa sababu ya hukosefu wa muda wa kuzisoma?
GHARAMA!
Safari yake ya mwisho( safari ya 322) ya Davos 25-28 january 2012, iliigharimu serikali Tsh mil. 300, nikiamua kuchukua theluthi mbili ya gharama izo yaan mil 200, kisha nikazidisha kwa idadi ya tripu 322 jumla yake ni 64,400,000,ooo.
Mabilioni haya ni mengi sana. Ukizigawa mil 50 ambazo ni bujeti ya kujenga zahanati moja kwa wastani utapata jumla ya zahanati 1288. Kwakuwa Tanzania ina jumla ya kata 2011, fedha hizi zingetosheleza kuweka zaid ya 60%.
Ikumbukwe kuwa Tanzania wanawake wajawazito kati ya 24-36 kwa siku wanakufa kwasababu kadhaa ikiwemo ya kutokuwepo kwa zahanati au ziko mbali.
Tafakari mtanzania chukua hatua.
hadi kufikia, tarehe 01 february 2012, Rais wa sasa wa Tanzania amesafiri mara 322 nje ya nchi. Ukizidisha io idadi ya tripu/safari (322) kwa wastani wa siku 4 kwa kila tripu/safari, utapata jumla ya siku 1288 ukizigawa kwa siku 365/366 (siku za mwaka mmoja) utapata miaka 3.5 (yaan miaka 3 na miezi 6) Rais amekaa nje ya mipaka ya Tanzania. Kwakuwa Rais JK ameingia madarakani mwaka 2005 na had sasa mwaka2012 amekaa madarakani kwa miaka 6. Kwaiyo Rais amekaa nje ya nchi zaidi ya nusu ya muda wake wote aliokaa katika nafasi ya urais(3.5 years out of 6 years).
je Raisi hajavunja rekodi ya kuingizwa katika guiness book of records ya dunia? yan Rais amekaa nje ya nchi yake kuliko marais wote wa dunia? Rais gan amemzidi Raisi wetu?
Je, tumepata jibu la kwanini Rais mara nyingi husaini nyaraka feki kwa sababu ya hukosefu wa muda wa kuzisoma?
GHARAMA!
Safari yake ya mwisho( safari ya 322) ya Davos 25-28 january 2012, iliigharimu serikali Tsh mil. 300, nikiamua kuchukua theluthi mbili ya gharama izo yaan mil 200, kisha nikazidisha kwa idadi ya tripu 322 jumla yake ni 64,400,000,ooo. Mabilioni haya ni mengi sana. Ukizigawa mil 50 ambazo ni bujeti ya kujenga zahanati moja kwa wastani utapata jumla ya zahanati 1288.
Kwakuwa Tanzania ina jumla ya kata 2011, fedha hizi zingetosheleza kuweka zaid ya 60%. Ikumbukwe kuwa Tanzania wanawake wajawazito kati ya 24-36 kwa siku wanakufa kwasababu kadhaa ikiwemo ya kutokuwepo kwa zahanati au ziko mbali

Nina wasi wasi JK anashikilia nafasi mbili za uongozi at once!!!! yaan Waziri wa mambo ya nje (cheo alichokuwa nacho awali) na Uraisi wa nchi
Uchambuzi wako una kina cha kutosha, na hapo umetupa ufahamu zaidi wengi ambao hatukuweza kupata picha muda gani rais amekuwa nchini na muda gani ameishi nje ya nchi.
Utaratibu wa kuwa na Wizara ya nchi za nje na balozi za Tanzania nje ya nchi ni kwa sababu ya kufanya kiongozi wa nchi atulie nchini na kufanya majukumu yake ipasavyo, sasa kwa takwimu za uchambuzi huu nusu ya muhula huwa yuko nje ya nchi, hii ni hatari sana katika uongozi na ni udhaifu usio kifani. Nashindwa kuendelea kuongeza hisiia zangu msije mikaniona nimemkosea heshima kiogozi wa nchi.
Kwa hali ilivyo Rais anaingilia majukumu ya aliowaaminisha kutuwakilisha Waziri wa nchi za nje na balozi zetu, maana yake watu hao wako tu kutalaa na kula kuku kwa mrija maana kazi waliyopaswa kufanya inafanya na Rais mwenyewe.