Huyu ndio Habib Mchange

Mwlm gfsonwin ukiamka njoo uangalie huyu nae amakuja na nanyingine!

Hakika Mchange mna nisikitisha sana, kwa nini mtuangushe kiasi hiki? Na bado kuna maswali mengi ya ben mmeshindwa kuyajibu hadi sasa!
umeamini kwamba hatafika saa mbili nyingine imekuja??

haya mie naisubiria ya kitila mkumbo.
 
huyu mburula anamatatizo gani?

your editorial is full of mimmicking, get the hell out of unfond coocking tales
 
Mchange why are you exposing your stupidity consistently?

You'd long shot your own foot and now you're just doing the same to the rest of your body! Is it that none in your mercenary gang left with any tiniest wisdom to tell you to surrender coz the battle and the war has already been conlcuded? Mtafia kwenye mahandaki kama Gaddafi, shauri lenu!

Kweli akina Safari na Marandu waliliepusha Taifa hili na janga jingine kwa kuwaengua wewei na wenzako. Biggest thanks to that CC.

Every day is a day of big & important decisions. Today we salute those great leaders.
 
Mchange naomba utumie muda wako mchache uliobakia umwandikie Bw. Stephen Masatu Wassira kumweleza kuwa ule mpango wenu ume-backfire big style. Hivyo yale majigambo yake kuwa CHADEMA kitasambratika mwaka huu hautawezekana kwani mambo haya yametokea na wala si kwa mkono wa mwanadamu.

Ujumbe mfupi tu namna hiyo unatosha.
 
Mello na Mods wote wa JF hongereni kwa jukwaa hili. Mna mchango usiolipika kwa fedha ktk kila hatua ya ukombozi na maendeleo ya nchi hii.

Be blessed folks!
 
toka hizi nyuzi zianze kila mtu anasema ukweli tupu then nani anayeongopa kati yenu??
kama ni kweli tu why contradictions??
 
Hivi hawa jamaa hawawezi kusoma alama za nyakati? zzk keshachafuka to the extent yeyote anaemsupport anachafuka nae. kumng'ang'ania zzk ni kung'ang'ania jahazi linalozama. inabidi mjipange mtoke kivingine sio kila kila mnapojitetea mnaishia kumtetea zzk ambae humu jamvini keshaonekana hafai.
sasa unabishana na kulipinga hata gazeti pendwa la watz Mwanahalisi japo lishafungiwa kwa kusimamia ukweli!! hivi unafikiri credibility yako na mwanahalisi ipi iko juu?
dr. kitila mkumbo kwa kujihusisha na zzk kwa sasa nnauhakika anajutaaa! na itamchukua muda kurudisha credibility yake tena sembuse wewe m-penda-change!!
 
Sarakasi zote hizi ambazo mnaruka nnaomba ziwakumbushe kuwa kuna vijana wenzenu wamepoteza maisha kwa sababu ya harakati za chama. Namkumbuka Ally Zona, Namkumbuka Rama kule Igunga, namkumbuka yule mwenyekiti wa Arumeru, nawakumbuka wale wengine 3 wa Arusha.

Damu zao zitaendelea kuwalilia kwa jinsi mlivyo wasaliti.
 
nenda uvccm.. ndo size yako!
Huku tumekustukia
 
umeamini kwamba hatafika saa mbili nyingine imekuja??

haya mie naisubiria ya kitila mkumbo.

Kitila alijibu sehemu...The guy is very matured alisema hataweza kujibizana mtandaoni...kuna taratibu za chama.Hata hivyo uhusika wa kitila nadhani sio mkubwa sana katika haya.ingawa upo
 
na Babu mwenye kadi mbili na siasa za kuwatumia nyinyi njaa kali vp?

Hii ni mojawapo ya zile ID 20 kwahiyo hunipi shida hata kidogo kukufahamu. Masalia ndio mna njaa kali hadi kununuliwa vinywaji na chakula kila siku na kukubali kukihujumu chama, hata hamuoni aibu?
 
uadilifu umemshinda katika mambo ya dini vipi ataweza ktk mambo ya kidunia, Shame on u padri slaa.
Miji2 mingine cjui imefungwa bongo hata kufikiri inashindwa wanaamini wa2 wanaowaamini kuwa hawakosei kama c binadamu kama wao, hebu jaribuni kuweka mawazo yenu huru panapo kosa lisemwe na panapo kupatia papongezwe. Ok wacha waendelee kuanika madudu yao maana 2najifunza mengi kutoka kwao.
 

Hizo taarifa za E-ticket ulizipata je na wewe sio muhusika wa hiyo safari? unataka kusema hizo taarifa mtu anaweza kuzijua tu? tena bila kujua kwamba muhusika anasafiri?
Wewe kujua kwamba kasafiri na kujua too much information mpaka namba ya ticket ni kwamba una husika nayo
 
Bro..huyu dogo ni jirani yetu pale Kibaha maeneo ya Sheli..Uyaoni..tunayajua maisha yenu yote..sitaki kwenda huko ila ntakuja baadae na picha na maelezo ya kutosha..wewe ni mtoto mdogo sn nenda kavae Pampas..
Ni mimi jirani yenu pale Uyaoni..!!
 
Mwl gfsonwin Kitila Mkumbo huwezi kumuona humu, hata hivyo alijibu jana na hawezi kuja tena. Ila namsubiri gwakisa na mwampamba arudi tena na juliana kisha kesho ben arudi tena.

Hawa vijana hakuna kitu kabisa njaa tupu!

umeamini kwamba hatafika saa mbili nyingine imekuja??

haya mie naisubiria ya kitila mkumbo.
 
Last edited by a moderator:
Nimegundua hata chacha wangwe kifo chake ni dhulma kwasababu ukitaka kumpinga MH MBOWE lazima utaambiwa ww ni pandikizi la ccm TUACHENI CUF TUPUMUE

Zitto naona ben saanaane amekufanya uvae BURKA(id fake) hili vazi maalumu kwa mademu kule afghan.
 
Nakupongeza mchange kwa hili umevumilia mengi, lengo lilikuwa uondoke kwenye chama. Japo watu wengi tuliamini before kwamba Dr is right at all, nazani kupitia hizi thread mmetufungua macho. That why sihitaji kujiunga na chama chochote cha siasa, maana mwenye uwezo anapigwa asiye na uwezo wanapewa nafasi, kwasasa kupitia chadema wasio na uwezo wanapewa nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…