Huyu ndio Habib Mchange

Habibu Mchange nakufahamu vyema.Tangu enzi zile unauza korosho na miogo ya kuchoma pale Kibaha.Sasa hivi umebadilika sana kiuchumi. Wewe bado mwanafunzi wa UDOM. Umekuwaje na ukwasi ulionao wakati familia yako ni choka mbaya?

Wana-Kibaha walikukataa kwa sababu mbili.Kwanza,ulikuwa bado mwanafunzi.Pili,huna msimamo kwakuwa ulinywea haraka kwa Koka na kumsusia jimbo la Kibaha Mjini.Uongo? Uasi wenu chamani umeshindwa.Sasa mna machaguo mawili: kutubu au kujitoa chamani.Lakini,hata mkitubu hatutawaamini tena.Habibu Mchange,natunza mengine kwa heshima yako. Kaa kimya
 
Kijana acha kupoteza muda mwingi kwa majungu fanya kazi nyingine siasa haikufai we ni msahaulifu sana
 
AKILI FYATU

ZIMEKWISHA KAMA SOLI ZA VIATU,,KWA AKILI HII NI BORA WEWE NA ZITTO MUENDELEE KUAMINI WAGANGA WA KIENYEJI TUH



:A S 114::A S 114: :A S 114::A S 114::A S 114::A S 114::A S 114::A S 114::A S 114::loco::loco::loco::loco::loco:

Like it, really! haahaaaa. Na hiyo saini yako ndio sina mbavy mie haaa haaaa!!!!
 
Wewe kijana kalale acha kutokwa mapovu na thread za kuandikiwa mtatunga uwongo sana...wapuuzi kundi zima Ben saa nane amewaacha mbali sana. M telin you ben sa nane aliwazidi akili na rasilimali ukimchunguza yeye ashaforecast mwisho wa hii saga itakuwa, ana calculations alread. Acha kuropoka unachosha watu na huu ukakasi. Kutuambia wewe ni rafiki na zitto ni upuuzi,uyo zitto unamuona mungu mtu sababu anakuweka mjini shida ulizonazo zitakutafuna milele usipojirekebisha na pia siasa huiwezi njoo nkupe kazi ya kusimamia site ya kupiga matofali pale bunju nikulipe milioni mbili kwa mwezi na gari ya kutembelea mbwa wewe!
 
Uswahili uswahili tu mwingi huku mukichwa mukiwa tupu maneno gani utatueleza tukakuamini tena weye unayeapishwa kwa kuchanjwa yamini duh Kumbe hujamaliza shule
 
wasaliti dawa yenu mnaijua.. harakati hamtazikwamisha ... magugu yote yatondolewa hatukubali kifo cha mende kwa chadema aisee..
maslahi ya umma kwanza umma utashinda ...
kuna watu humu hawaponi(hawasafishiki) na hata wakishasafishwa hakuna namna naweza kuwa na imani nao kwamwe wa kwanza ni zitto.. nyie wingine mtajuana wenyewe...
 

[MENTION]Mchange,[/MENTION]

Ungekaa tu kimya. Nisaidie kidogo hapa chini.

1. Wakati unagombea uongozi (Uenyekiti wa BAVICHA), ulikuwa na kazi gani ya kukuongezea kipato?
2. Kipato chako halali kwa mwezi kilikuwa kinafika shilingi ngapi? Kwa wastani?
3. Wewe na huyo Katibu wa Zitto, mlikuwa na 'ushirika gani' mpaka wewe umtumie kiasi cha Tsh 81,000?
4. Kama ni dharura, nani wa karibu kwake. Wewe uliyeko Kibaha au Bosi wake na mbunge wake na mwana Mwandiga mwenzake - Zitto?

Cc -[MENTION] Mwana Mpotevu[/MENTION], FJM, Taswira, Haki sawa
 
Last edited by a moderator:
wewe mwenyewe ni nyoka mwenye ndimi mbili..,endeleeni lkn hakuna lenye mwanzo likakosa kuwa na mwisho..
 
Naona wanakutetea wote wamejiunga mwaka 2012 na hasa mwezi December, 2012.

Hapa lazima kuna jambo. Hata ujitetee vipi, wewe na kundi zima la PM-7 ni WASALITI tu.
hakuna namna wanaweza kukwepa hii dhambi mkuu.. hakuna namna ambayo naweza kumwamini tena zitto hata waprove otherwise.. nakipenda chadema kwa kuwa niliona ni nuru ya mabadiliko sitopenda kife kifo cha mende kama vyama vya sias uchwara bila kukamilisha mission ya kuondoa ccm madarakani.. WASALITI DAWA IMMECHEMKA NIKUWASCAN NA KUWA DELETE HAWA VIRUSI TU.. HAKUNA KUMBAKISHA HATA MMOJA... M4C ITAWAGEUA HAWA WASALITI SASA..
 
Kundi la Zitto liko kazini halafu inaonekana wote ni vihiyo maana hata maelezo yao si makini kumbe anawatumia vilaza ngoja sasa mrudi kwa mabwana zenu.
 
Mwlm gfsonwin ukiamka njoo uangalie huyu nae amakuja na nyingine!

Hakika Mchange mna nisikitisha sana, kwa nini nmtuangushe kiasi hiki? Na bado kuna maswali mengi ya ben mmeshindwa kuyajibu hadi sasa!
 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa nina wasiwasi ni TISS. Wengi wao hawajui kuandika kwa uzuri.Eti,'Ukwe'....ndio nini sasa? Bogus kabisa.Mchange utakuwa unapata tabu sana kujibu maswali hapo UDOM.Soma kwanza dogo. Na kwa mambo haya,hesabu kuwa Jimbo la Kibaha Mjini halitakuhusu tena na Zitto hatakusaidia. F*&#$%!@
 
unavyohangaika utadhani umekalia msumari pole!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…