Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 1,963
- 6,110
Baba yake alikuwa mwanadiplomasia tokea mtoto ameishi sana nchi za nje ndio maana ana lafudhi tofauti kidogo.Niliangalia interview yake Dizzim, Jamaa hana tena lafudhi ya kibongo.
Dogo ameshazeeka, anaonekana mzee kuniliko mimi.Umuofia…
Miaka ya mwanzoni mwa 2000 moja ya wasanii waliotoa hit song ni msanii Balozi Dola Soul.
Wimbo wake uliompatia umaarufu na mpaka leo unatamba ni ule “Balozi bado nipo”
Ni wimbo ambao hata upigwe leo, lazma utatikisa kichwa kuusikiliza kwa namana kuanzia beat mpaka mashairi yalivyopangwa.
Sasa wengi huwa hawamjui Balozi, kwakuwa aliondoka Bongo na kuhamishia makazi Marekani.
Pichani ndio Balozi Dola SoulView attachment 2730109
Lafudhi ya Kibongo ya kazi gani wakati hayupo bongo miaka mingi? Uki get used to speaking English or any other foreign language lazima lafudhi ya kibongo ibongonyoke.Niliangalia interview yake Dizzim, Jamaa hana tena lafudhi ya kibongo.
Wahuni wa zamani
kuna mwamba aliimba(ga) mambo yote mbele kwa mbele, usikate tamaa msela ongeza misele
mwenye wimbo huo, fanya kutupia.