Huyu ndie Padre aliyeuawa Zanzibar

Huyu ndie Padre aliyeuawa Zanzibar

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
2013-02-17+10.58.55-1649158318.jpg
mushi+ww.jpg
524938_10151328595038883_797427294_n.jpg
GEDC0200.JPG
 
Apumzike kwa Amani. Ila wahusika watalipwa tu. KARMA
 
Watanzania mjilaumu wenyewe kwa matukio mabaya yanayoendelea nchini kwa sasa!! Serikali ya ccm haikuingia mstuni na kutwaa madaraka bali mliipa kura kwa ushabiki wenu wenyewe!!! Hiyo ndiyo kasi mpya... na ndiyo madhara ya kupiga kura kama vipofu!!
 
hakuna dini inayobariki mauwaji kama hayo si uislamu wala dini yoyote ile,kama walimuuwa ni ubara na uzanzibari ndio umetumika lakini chini ya kivuli cha dini kwa kuwa wauwaji labda ni khamisi na makame!!!!
mtume s.a.w aliishi kwa wema na yahudi wa madina alifanya nao biashara bali aliwahakikishia ulinzi na maisha bora walipokubaliana kimasharti,hakuuwa mwanamke wala mtoto wala mzee,na hakuuwa mtu yoyote nje ya vita au ndani ya vita huku hajabeba silaha!!!
huu si uislamu wala hawa wauwaji si waislamu wana agenda zao nyengine
 
So sad, damu yako haitakwenda bure father, Yesu mwenyewe alishindwa kuvumilia kuona watu wakigeuza nyumba ya ibada na kufanya eneo la kuuzia bidhaa. R.I.P FATHER.
 
Hili tukio limeniuma sana haki ya mama!!! Gone too soon Fr, damu yako haijamwagika bure, umepanda mbegu itakayodumu milele. RIP!
 
Huu ni upuuzi wa hali ya juu sana, unatuma kikosi cha nini? ni mambop mangapi Wakristo tunafanyiwa na nyie mnaendelea kuwachekeleA tu? mlitaka wautoe uhai wa mtu kwanza ndio muunde huo upuuzi wenu, pumbafu kabisa
 
Back
Top Bottom