Aiseee hadi pumzi zimeisha..tumia hizi ( , . )
Mwanamke asiye jari ni mtu anaechukulia kila kitu kawaida hata kama we unamaanisha yeye anachukulia kawaida sijui nimuweke kundi gani mpaka najilaumu kumpenda maana nahisi mapenzi nimeyabeba mimi tu nishaurini nifanyeje ili niishinae kwa amani?nikituma text ye anajibu kifupi tu hivi ndo mnaishi nao hivi hawa Viumbe?
baba i love u baba ... baba uko wapi?
I love so much mwanangu mzuri..leo simu yangu ilikua na tatizo kidogo but nipo vizuri baby...vp wewe uko sawa?
baba nipo vizuri sana baba mzuri... baba nimekumiss
Nataka niongee na wewe mwanagu....
kwani umekuja lini kwenye hii fani weye mwenzetu????
Kwani ukiachana naye utakufa?huna chako hapo sepa.