Huyu mzungu too much...

Alishaliwa huyo, maelezo yake yanajichanganya
 
Huyu jamaa response yake Iko open sana jamaa katiki huyu
 
Punga la kipolish hapo utatengenezwa mda si mrefu,ni kwamba ni mpopo huyo yuko abuja anacheza na akili yako. Kinachofuata tuma acc nikutumie dola ukabook hotel mara chabooooz🤑 Imekula kwako
 
Mpolish ana njaa kali sana, hawezi hata kusafiri kutalii,nshakwambia huyo mpopo Changanya na zako
 
Weka mazungumzo yote mpaka mwisho nijue namna ya kukusaidia kwamaana wewe umeshindwa ndo maana unahitaji msaada kwa jambo dogo kama hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa bwana unanishangaza,hivi huyo jamaa ushakula hela zake ndio maana unashindwa kumpa makavu?you don't no where to start?kwahio unataka akufundishe pa kuanzia?maana yake umekubali tayari,

Angalia ndugu huo ulimwengu unaotaka kuingia hauna rivasi,maana mpka unashikwa muwa sijui mlikuwa mnafanya nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jasho la mtu haliliwi kizembe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uandishi wako sikujua kama unaweza kutoa koment mzito hivi.

Zaidi ya pesa nini kinakushinda kumkatalia huyo mzungu hata umtukane na uachane nae kabisa unamjibu kizembe zembe hivi? ...

Mi nilijua kuna unachotaka kuchota hapo.......

Tena ukicheza nae utaliwa wewe...kuna jamaa miaka imepita aliliwa staili hiyo hiyo yako.
 
Nishamkataa tyr mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…