Huyu mzungu atanikubali kweli?

Huyu mzungu atanikubali kweli?

jean phillipe beyun

Senior Member
Joined
May 18, 2015
Posts
142
Reaction score
167
Wakuu,

Hivi karibuni shirika limeleta bosi mzungu mwanamke, ana utu na Upendo sana, na ni mchangamfu sana, lakini zaidi ya yote ni mzuri sana kwao ni mexico sasa sijajua wa Mexico pia ni wazungu au la.Ana wowowo na umbo namba nane nywele nyeusiii hadi mgongoni, kwa kweli ni mzuri hakuna lugha ya kutumia nikaeleweka.

Sasa nimebahatika kuwa karibu nae sana, maana ndie immediate boss wangu kwa sasa ameletwa kwa mkataba wa miaka mitatu, mm ndie nilimtafutia nyumba ya kukaa, na weekend ananiita tushinde wote kwake maana kampani, nimekua nikimpeleka sehem mbali mbali mfano bagamoyo, na pia ana nia ya kupaona Zanzibar hivi karibuni katika weekend zijazo.

Last weekend tulienda Bagamoyo tukaogelea kwenye fukwe za huko, kwa kweli nilisisimka mno kwa mguso wake majini, lile wowowo likinigusa mbele kunatengeneza muinuko nalazimika kumkwepa hadi hali itulie, kwa kweli ukituona unaweza kusema ni wapenzi.

Kazini watu wameanza kunitazama kwa jicho la husda kwa ukaribu tulio nao, wengine wameenda mbali zaidi wakiambiana jean ameshalamba yule mmexico kumbe wapi.

Sasa wakuu mnaonaje nijilipue tu nimwambie nampenda awe wangu? Maana naogopa nisije nikataja mambo ya mapenzi kumbe yeye hayupo huko, sababu juzi nimemsikia akiongea kwa simu alipomaliza akaniambia alikua anaongea na boyfriend wake alieko marekani nikawa mnyonge.

Sasa sijui akinikataa itakuaje, ila akinikubali nitakua nimelamba bingo maana kifedha pia yupo vizuri, natumwa ku change dollar kila mara, na sasa hivi Mara chache sana natumia gharama zangu, sababu hata tukitoka kazini nakua nae hadi mibaya ndo narudi kwangu, tunakua kwenye coffee shops na pub mbalimbali.

Dah niko njia panda aisee, Mungu anisaidie tu nipate nguvu za kumwambia hatimae nimpate niachane na lile jianamke linalonifuatilia kila siku

Wadau ushauri
 
Wabongo bwana! Si ameshasema ana boyfriend unataka nini sasa. Ukianza mambo yako utaharibu friendship yenu na kama ulivyosema she's your immediate boss so if she rejects you, be prepared for endless awkwardness at the office. Fanya kazi tu maana ndio kilichokupeleka wewe na yeye pale.
 
Hahahahahahaha we unatafuta kuukata kimaisha mi nnavyoona
 
Aiseeh. Hawa watu hawatabiriki sheik ingekuwa wetu ningekutabiria.
 
Back
Top Bottom