Subiri baadaye uje kutafuta Wanaume kwa udi na uvumba.Umri wangu bado nipo 20s nina kijana wangu wa miezi6 nampenda japo sio sana.. sijajua kama atanioa ama la,
Miezi kazaa nikiwa kazini kwangu alikuja mzee wa makamo yaani umri wa baba angu mdogo… kwasababu boss wangu namwita baba hivyo yule na mwitaga baba mdogo..
Sura ya tafadhali nipigie
Subiri baadaye uje kutafuta Wanaume kwa udi na uvumba.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Sitakaa nikaonana na mdada wa Jamii Forums. Aisee haya machamboSema tatizo lake ni mfupi kuliko mimi, mweusiii teee, sura yake ya tafadhali nipigie
😂 wezi kumbe huwa wana sura mbaya?Yeah ukimuona kwa mara ya kwanza ni kama mwizi hivi
Sitakaa nikaonana na mdada wa Jamii Forums. Aisee haya machambo
[emoji23] wezi kumbe huwa wana sura mbaya?
kwahyo unatakaje?
Uzuri wa wazee "kazi ndogo malipo makubwa" sio kama vijana wanasimamia kucha halafu hawana kitu....usiogope mpe tu! Japo uwe makini tu na "jicho" lako..maana ndio sehemu pendwa...usiseme hukuonywa!