wote walitoka dar na kwenda BUKOBA kukumbatiana kama vile watu ambao hawajaona miaka miwili
mbona kama wanafuraha ya ziada,
harafu kama mama kajishusha vile utadhani huyo mbunge wa bunda ni bosi wake,
ngoja niwachimbe kunakitu hapa
yaani ni km kitu flani hivi wanankikumbukia au walishawahi kuwa na ka bondage flani hivi kama ni kazini au biashara au ushkaji tu wa karibu, wanaonekana wenye bashasha saaaaaaaaana!!