Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,373 Reaction score 3,586 Sep 10, 2012 #1 Huyu mzee anafanya nini?
gmosha48 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,399 Reaction score 1,482 Sep 10, 2012 #2 Mahepe!
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Sep 10, 2012 #3 Anakwanga mchana lol Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
Columbus JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,002 Reaction score 652 Sep 10, 2012 #4 Sio Nimrod huyu? anawanga naye siku hizi!LOL!!
Mandingo JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 5,964 Reaction score 7,862 Sep 10, 2012 #5 Ushuzi ume mbana huyu!
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,965 Sep 10, 2012 #6 Tripo9 said: Huyu mzee anafanya nini? View attachment 64524 Click to expand... Anapiga chabo!!!
Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,417 Sep 10, 2012 #7 nimechekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
The last don JF-Expert Member Joined Aug 3, 2011 Posts 1,166 Reaction score 1,421 Sep 10, 2012 #8 Anacheza kiduku kuondoa stress zinazomkabili jamani lol!
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,333 Reaction score 16,786 Sep 10, 2012 #9 The last don said: Anacheza kiduku kuondoa stress zinazomkabili jamani lol! Click to expand... aisss!!kumbe kiduku inapendwa!
The last don said: Anacheza kiduku kuondoa stress zinazomkabili jamani lol! Click to expand... aisss!!kumbe kiduku inapendwa!
mgodi JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,780 Reaction score 1,852 Sep 10, 2012 #10 Tumbo litakuwa limechafuka.
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,498 Sep 10, 2012 #11 distazo said: Sio Nimrod huyu? anawanga naye siku hizi!LOL!! Click to expand... Hahahahaha lol
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 89,154 Reaction score 157,061 Sep 10, 2012 #12 Nimrod Mkono anarukaruka baada ya kufungua nini? Shule?
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Sep 10, 2012 #14 Freemason in action hana jipya
snochet JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 1,491 Reaction score 1,298 Sep 10, 2012 #15 anataka anyeshee mti
C Concrete JF-Expert Member Joined Mar 12, 2011 Posts 3,605 Reaction score 552 Sep 10, 2012 #16 Mbona kama anakula chabo! Hili pause la wala chabo tu.
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,373 Reaction score 3,586 Sep 10, 2012 Thread starter #17 Mwanzoni nilijua ancheza kiduku, lakini ukiikuza picha vizuri unaona kama kuna kitu kingine anafanya. Saidia jamani
Mwanzoni nilijua ancheza kiduku, lakini ukiikuza picha vizuri unaona kama kuna kitu kingine anafanya. Saidia jamani
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,283 Reaction score 98,885 Sep 10, 2012 #18 Mnataka vya bure? Mmesahau slogan yake ya "Nkono kwa Nkono"?
hovyohovyo JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 547 Reaction score 159 Sep 10, 2012 #19 Atakuwa anajamba tu. Kujamba raha, hasa ukiwa alone!!
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 2,042 Reaction score 604 Sep 11, 2012 #20 anahisi kama masaburi yanaota pembe.