Huyu mwigulu nchemba vipi?

Hakuna cha mugulu wala minyika yote madege yanayotaka umaarufu kwa kuropoka bungen wanasiasa wote waongo tu.
Karibu kaka naona umeingia juzi juzi tu kwenye JF na humu ni kwa Magreat thinker.

Join Date : 26th June 2012
Posts : 12
Rep Power : 304
Likes Received0
Likes Given0


Like received 0 na pia Like given 0

Mdogo mdogo tu utafika.
 
Back
Top Bottom