Huyu mwenzetu vipi?

huyo ni ukawa maana kichwani mahali pakufikilia ni chadema mkononi ambapo ndo kipigia kura chadema pie
 
aliyempiga picha angemuuliza kabisa tuko busy na magufuli subirini uchaguzi upite.
 
Kwa jinsi nnavyomuona tu sura yake inaonekana ni wazi kabisa kuwa anahudumia kotekote bila shaka mamitto.

Mhhh sasa kama we umeona hivyo huenda kuna ukweli ila ana mapenzi zaidi na Ukawa
 
Great thinker nakutafsiria
CHADEMA - KICHWA
ACT - MAZIWA na TUMBO
CCM- PAPUCHI na MAKALIO...
Je? Unachagua nini?
 
Watu wana shida ya nguo hali ngumu bana
 
Kichwa ndio kilakitu Kama mnavyo jua sasa angalieni kichwan kuna nin alafu tafakari chukua hatua✌✌✌✌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…