Huyu mwanawake Mungu anamuona...

Huyu mwanawake Mungu anamuona...

yuda75

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
520
Reaction score
1,403
Habarini wadau,

Mimi nimebahatika kuwa na mwanamke wa kichaga nilimpenda sana sana hadi sio poa. Nimekuwa nikiongea naye mambo mengi sana ya kimaisha na maendeleo, ingawa mimi ninakazi yangu nzuri tu sikosi mkono kwenda kinywani na yeye yupo kariako kwenye duka la ndugu yake anauza.

Tatizo lake ni kwamba anataka kuforce vitu, alitaka nifungue biashara nikamwambia asubiri nikusanye mtaji nifungue biashara lakini haelewi anataka hapo hapo on sport. Pia, vocha kwa week nampa ya buku tano ila hawezi kupiga wala sms labda mi nipige na pia hata ukimtumia sms whatsup inaonekna kasoma lakini hajibu may be after on hour pia kuonana nae mpaka umuombe sana ajisikie muda wa kuja na si wewe umpangie na kuondoka hata kama kaja kwa daladala au mwendokasi anataka kuondoka achukue uber au bajaji, na akitaka chochote kwangu nampa hadi nimegombana na rafiki zangu kisa yeye.

Wakuu nimeumia sana naandika SMS hii kwa maumivu ya kuwa single na hisia bado kwake zipo, sijielewi
 
We usiwe kama kiazi wanaume wote tupo uzi wa jstar1 tunaomba namba za mtu ana shape kali chura kalegea kama Bella Bellz wewe upo bize kutuambia jinsi gani unabaniwa kumega?

Upo serious? Mpaka akwambie hakutaki ndiyo uelewe? Shwain
 
jitafutie zako mzaramo tuu hanaga shida,ukimkosea akuchambeee lakini hatokusumbua...mambo ya on spot yeye hanaga hizo swagger


nb:nna utani na wazaramo jomonii,msije mkanichamba buree 😂
 
We usiwe kama kiazi wanaume wote tupo uzi wa jstar1 tunaomba namba za mtu ana shape kali chura kalegea kama Bella Bellz wewe upo bize kutuambia jinsi gani unabaniwa kumega?

Upo serious? Mpaka akwambie hakutaki ndiyo uelewe? Shwain

Nimekumbuka hii methali kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake
Sasa kifurushi cha buku 5 na mambo mengine ya uber jamaa povu limemtoka

Sasa kina bella hao atakapo honga laki si atajiua mkuu wetu
 
Mwanamke akiwa hakupendi huwa wanakuwa hivyo. Hiyo vocha unayomtumia anatumia kumpigia jamaa yake na siku ukimfungulia duka. Ndiyo mwisho wako, hakutafuti tena. Hilo duka fungua kisha tafuta mtu mwingine awe anauza na kama utashindwa mfungulie mama yako.
soma uzi vizuri vocha ya bukutano kwa week piga mara mwezi
 
Back
Top Bottom