Mahondaw JF-Expert Member Apr 9, 2013 62,011 156,364 Jul 24, 2017 Thread starter #81 chakii said: Usiusemee moyo wa mtu Click to expand... Tunaishi nao tunaona kabisa. Si kwamba nasemea moyo wa mtu ila hii roho kama ya huyu mwanaume sababu hasa ninini??
chakii said: Usiusemee moyo wa mtu Click to expand... Tunaishi nao tunaona kabisa. Si kwamba nasemea moyo wa mtu ila hii roho kama ya huyu mwanaume sababu hasa ninini??
Dodou JF-Expert Member May 4, 2017 494 390 Jul 24, 2017 #82 mahondaw said: Mamito si wenyewe tunashindwa kumuelewa huyo mwanamke mwenzetu.. Na hiyo mwanaume nae hii roho mbaya sijui sababu hasa ninini! Click to expand... Mshaurini akimbie, au kwao wamemkataa? Small minded people won't understand
mahondaw said: Mamito si wenyewe tunashindwa kumuelewa huyo mwanamke mwenzetu.. Na hiyo mwanaume nae hii roho mbaya sijui sababu hasa ninini! Click to expand... Mshaurini akimbie, au kwao wamemkataa? Small minded people won't understand