Huyu mwanaume ni zaidi ya kichomi, ungekuwa wewe ungefanyaje katika ndoa kama hii?

Mwambie aendelee kuvumilia atapewa tuzo ya Mke mwema shenzi kabixaa. Elimu yake imemsaidia nini Sasa? Nilidhani kafungiwa jela yaan mwanaume anaondoka anakukuta upo tu, jaman elimu sio kupata A darasani elimu inakusaidia kupanua thinking capacity, sasa kama 'na hapo tu hajiongez nawasiwasi na thinking capacity yake, hapo mwili unaharibiwa kwa kupewa makovu nk anataka azinduke lini Sasa akiwa kaburini

Sent using Jamii Forums mobile app

Nadhani anajifeel inferior kitendo cha kusomeshwa labda..
Na mdada ni mpoleee very decent one afu mzuri sasa
 
Ninamfahamu dada mmoja alimaliza form four D akasomea ukatibu muhtasi evening classes Magogoni. Kuna jamaa akawa anamyapia nyapia Mara mimba.

Wazazi walimsusa binti kwa yule mwanaume, mwanaume alioa lakini ndani bidada alipata fresh. Hakuna kutumia family planning, katika muda wa miaka Mitanni walikuwa na watoto watatu na mimba juu. Baada ya kumfuja watoto sita alimrudisha kijijini kwao eti amsubiri anatafuta kazi yenye maslahi zaidi.

Dada amekaa kwa wakwe na watoto sita mwanaume anakwenda wakati wa Christmas tu. Yalivyomshinda bidada Kane a watoto wake kwao. Sasa wazazi hasira za mimba moja cwanaishia kulea watoto sita na mama yao.
Duh! Mapenzi haya.
 
Aisee huo unyanyasaji wa kijinsia sio wa kuvumilia...Huo uonevu mbaya sana kwa mwanamke....

Kuna misaada mingine mhmmhmhmhmh...
Huyu kamsomesha ila bora angeacha tu. Hakuna faida ya kumsomesha hapo cheti chenyewe hakina faida kwani hakitumii binti anashinda shamba tu kachakaaaaa khah!
 
Mwanaume mpende na mheshimu sana ila jua kuna limits, jipe maisha pia hata wewe ufurahie..
 
Kuna misaada mingine mhmmhmhmhmh...
Huyu kamsomesha ila bora angeacha tu. Hakuna faida ya kumsomesha hapo cheti chenyewe hakina faida kwani hakitumii binti anashinda shamba tu kachakaaaaa khah!
kweli inasikitisha mno
 
Ninamfahamu dada mmoja alimaliza form four D akasomea ukatibu muhtasi evening classes Magogoni. Kuna jamaa akawa anamyapia nyapia Mara mimba.

Wazazi walimsusa binti kwa yule mwanaume, mwanaume alioa lakini ndani bidada alipata fresh. Hakuna kutumia family planning, katika muda wa miaka Mitanni walikuwa na watoto watatu na mimba juu. Baada ya kumfuja watoto sita alimrudisha kijijini kwao eti amsubiri anatafuta kazi yenye maslahi zaidi.

Dada amekaa kwa wakwe na watoto sita mwanaume anakwenda wakati wa Christmas tu. Yalivyomshinda bidada Kane a watoto wake kwao. Sasa wazazi hasira za mimba moja cwanaishia kulea watoto sita na mama yao.
Huwa nasikitika sana wanawake kupata wanaume kama hawa. Kuna wanawake hawastahili huu ufedhuli.
Kwakweli, nimeshindwa hata kuendelea kuandika............................................basi tu.
 
Yaani, nasoma hii thread ila naona kama leo [HASHTAG]#Mahandow[/HASHTAG], anajifunza uandishi wa script ya maigizo ya futuhi.
Pia, umewaua Walimu, japo hii script ilivyokaa mtu yeyote anaweza akafanya yote hayo.

Ila, ngoja tusubirie tuone mwisho wake.
 
Wazazi walimkabidhi moja kwa moja tangu alivopewa mimba ili aendelee kumsomesha. na mimba ndo ndoa tayari ivo

Majirani huwa tunaona kabisa baadhi ya tabu anazozipata huyo dada.. ukimwambia kitu Anaogopa kukifanya kuhofia mume mume wake...

Watu wengine wanamshauri arudi nyumbani kwao akienda siku mbiltatu huyoo anarudi kwa mumewe wazazi wenyewe nao ndoivo
Msaidieni kupata msaada hata wa kisheria mwisho atafia humo ndani!

Madame S
 
Sheria sizipo jamani? Kwanini asikimbilie kwenye sheria? Huyo ni msomi wa namna gani aisee?
 
Kumaanisha huyo
Binti alifungiwa hapo
Kwa huyo mwanaumea au
Mpaka akashindwa kuondoka

Shida ya wanawake ndyo hiyo
Mnapenda mnapoumizwa na
Co mnapofrahishwa

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Funzo pekee tunalolipata hapa ni kwamba kosa moja la mtoto lisimuharibie maisha yake yote! Laiti wazazi tungetambua makosa wanayofanya binti Zetu,kuyabeba na kuyasamehe hayo unayoya ainisha binti asinge yapitia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[QUOTE="Go mi num, post: 22414263, member: 24]Mpaka akate roho ndio atazinduka toka kifungoni .... Unipige bila kosa! Uninyanyase bila sababu za msingi? Nipo tu nakuangalia? Wakati huo unaniruhusu kwenda hadi shambani labda kama umeniwekea mlinzi ... Nae hanizuii kitu maana siwezi vumilia ujinga wereva wa kiwango cha upumbavu.

Na kila mmoja anashangaaga hii robo ya huyo mwanaume.
Akiwa kwa watu kwenye jamii huko ni very charming man yani mtu poa sana huwezi amini anayomfanyia mkewe..[/QUOTE]
Atakuwa na character inayoitwa BiPola... Two faced... Two personality...
Mbaya sana...
 
Wazazi walimkabidhi moja kwa moja tangu alivopewa mimba ili aendelee kumsomesha. na mimba ndo ndoa tayari ivo

Majirani huwa tunaona kabisa baadhi ya tabu anazozipata huyo dada.. ukimwambia kitu Anaogopa kukifanya kuhofia mume mume wake...

Watu wengine wanamshauri arudi nyumbani kwao akienda siku mbiltatu huyoo anarudi kwa mumewe wazazi wenyewe nao ndoivo
Wote huo ni umasikini... Mpaka huruma..
 
Wanaume acheni huu ni Unyanyasaji uliotukuka. ..

Kuna mwanaume mmoja amemuharibia masomo binti alikua form 5,, ndugu wa binti wakachachamaa msomeshe na umuoe lasivo sheria inachukua mkondo wake. Hatukuelewiiiiii
Mwanaume akasema Ahaaa kusomeshaaa tu owkeyyyy kumuoaaa tu wazee sawa huyu mbona tayari ni mke wangu Aalelelelelelelele!
Binti katafutiwa chuo. Chuoni binti akikodolewa macho tu akirudi lazima ajibu yule aliekuwa anakuangalia Ninani?? mtaani yaleyale ulikua unaongea nayule mna biashara gani?! Atapigwa mpaka basi.

Binti kamaliza chuo mwanaume cheti kakichukua kakificha tena kakipeleka kwingine kabisa huko kwa ndugu wake mwanaume . Mwanaume hataki mke afanye kazi eti atamkimbia atamdharau as long as yeye ndo kamsomesha ataleta nyodo.
Mwanaume mwenyewe mwalimu tu mdada alisomea nursing ila hataki dada wawatu afanye kazi. Hapo dada anashinda Pori huko kumwagilia vitalu vya miti mara kulima kulingana na msimu. Hapohapo asubuhi shamba saa sita nyumbani kupika then urudi shamba nikukute huko nikitoka kazini Jioni ntakupitia

Chuo ilikua akifeli atapigwa mpaka basi finywa kwenye mapaja chapwa fimbo mpaka huruma.. Maneno kibao mara awamu hii ukifeli utanirudishia hela yangu boya wewe huna akili wala nini unafeli feli tu unamaliza pesa zangu bure.
Majuzi Kati ilikua usiku. Majirani wanashangaa wanasikia kilio kikubwa sana mwanamke analia. Ila hawasikii kelele labda za makofi yale ya paaa paaaa au kusema kusikia selekaseleka zozote hakunaaa. Ni kimyaa ila kilio cha machungu makali mmamaaaa mamaaa mungu wanguuuueeeeeee uwiiiiiiiiiiii uwiiiiiiiiiiii yoooooooooooooooooo!!
Asubuhi kuulizwa mwanamke ndo kuonesha wamama fulani watu mapajani bisibisi ilichomfanya. Siku nyingine alimpigisha magoti dada wawatu na mimba kubwaaa yani tumbo liko kuleeeee haijajalisha.

Acha sasa nyumbani akikosa analo. Wee mi nisingekupa ujauzito walaa nisingekuoa. Hata hivo nilipoteza hela zangu tu. Atapewa adhabu kama wanafunziiii. Anaeza ambiwa apige magoti hapo mume akienda aendako akirudi akukute ole wako unyanyuke... Ataambiwa ainame apitishe mikono nyuma ya miguu itokezee mbele na kushika masikio fimbo iko ndani jamani walimu vibaya hivooo!!'
Ole wako nikukute umekaa na sijui mwanamke jirani sijui mdudu gani hapa kwangu. Nitakunyonyoa. Hao watakuletea maneno ya umbea umbea make wanawake wa mtaani sio kabisa. Ni wambea wambea wanaofatilia yasiyowahusu ole wako nisikie upuuzi sijui nani Kaniambia hivi mara vile. Ukome.
Mwanamke kamuomba basi walau amfungulie hata ka biashara kadogo hapo nyumbani auze hata nyanya hakuna mume kagoma katakata.
wanaume acheni huu unyanyasaji. Haya siyo maisha kabisa. Sawa wanawake tunavumilia ila this is too much. Acheni wivu wa kijinga kwa ustawi na afya ya maisha yenu wenyewe. Mnapowavua chupi huwa mnawaza what next kweli???

Huwa mnajaribu hata kuwauliza kama siku ni salama kweli?? Wapo wanaume wanaotamani walau wake zao wangekua wafanyakazi kwa namna moja ama nyingine. Wewe unachezea.

Just imagine wewe kama ndugu yako anafanyiwa haya utajisikiaje??!
Ungekuwa wewe ndo huyo dada how would you react to such kind of a man???
Ewe mwanaume mwenye roho kama hii huwa unajisikiaje kumfanyia mtoto wa mwanaume mwezio hivi??

mahondaw wa Smart911
Story zenu za kufikirika upuuzi mtupu..! Feminism ndiyo inakusumbua hakuna mume mwenye roho mbaya kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom