Huyu mwanaume ni wa aina gani?

Huyu mwanaume ni wa aina gani?

Janau
Jamani wanajamvi, habr za wikendi.
Kuna wanaume mamburula sijawahi kuona.
Kuna wanaume mambuzi hadi wanakera, kuna wanaume sijui wana wadaudu kichwani.

Yaani kuna wanaume sifa za kuitwa wanaume hawana kabisa na si shauri kabisa mdada kuwa na mwanaume kama huyu.
Mwanaume Punga.kabisa hadi nakereka kwa huyu mwanaume mwenzangu.

Stori iko hivi, nilihamia sehemu fulani hapa dar, nikawakuta wapangaji wengine, kuna mama alitaka kunizoea mara naomba sh mia tano mara kesho sijui nini? Ni mzuri kiasi fulani na nikamgundua anataka kunizoea nikawa namkwepa sababu nina mchumba wangu.
Kumbe huyu dada alikuwa anaishi na mume ambaye sijawahi kumwona mchana kutokana na shughuri zake.

Basi maisha yakaendelea, bidada akapata serengeti mtaa wa tatu hivi, akawa anaenda kugegedwa huko anarudi home kwa mme wake, ilifika kipindi bidada analetwa na gari la mshikaji home kwake na mume wake anashuhudia.

Hali ilizidi kuwa mbaya sana kwa mwanaume huyu, mke wake alianza kuja na nguo za mchepuko wake kwenye begi na kufua ilihali mme yupo, huyu mwanaume alikuwa anajua kila kitu, na aliweza kulala na mke wake ili hali akijua dhahiri kuwa anatusuliwa na another guy in the street.

Wanawake wenzake hapa walimshauri sana kuwa anachomfanyia mmewe sio kitu kizuri lkn mwanamke huyu aliweka pamba masikioni akaendeleza uasherati wake.

Pamoja na hayo mme alikuwa bado anakaa naye.
Siku moja (wiki iliyopita) mke huyu alikaa kwa serengeti wake siku tatu mfurulizo usiku na mchana, alivyorudi tu mme akafanya maamuzi mimi nayaita ya kijinga.

Akatuita wapangaji wenzake wote( kumbuka mimi nikikuwa simfahamu kipindi chote hicho) kila mtu alishangaa tunaitiwa jambo gani. Basi akasema wapangaji wenzangu naomba nimwize mke wangu mbele zenu,.

Akamwuliza, hivi mama angel nimekufanyia kosa gani kwa haya yote unayonitendea? Mama angel mke wake kimya!

Basi akagwuka upande wetu akasema jamani ndugu na jirani zangu mimi nawaaga naondoka namwacha mke wangu afanye yoote anayoyataka lkn dunia itamfunza, kwahelini kabeba mabegi na vilago vyake akasepa.

Wanawake waliokuwepo hapa walisikitishwa na hatua ile ya mke mwenzao, wengine walimsuta sana lkn huyu mwanamke hakuwa na soni wala aibu.

Cha ajabu ilipita kama siku tatu yule mwanaume akarudi eti anamtaka mke wake warudiane mke aende huko makao mapya.

Nikajisemea moyoni huyu mwanamke anaakili sana, hata mimi simshauri akae na mwanaume punga kama huyo, mwanaume asiyejielewa.

Wanawake muwe makini na wanaume mnaoolewa nao la sivyo mtaishia kuchepuka nakuonekana nyie ndio wabaya kumbe waume na mapoyoyo.
Karibuni kwa stori ya mtaani kwetu
Janaume hill jinga, lingekuwa na busara lingekaa kimya halafu maisha yakaendelea. Eti even chumvi unasemaje ww?
 
Subir

Subiri umweke ndani huyo mchumba wako kwanza.

Ndipo utakapojua mwanamke so nduguyo.

Sali Sana yasikukute.
 
Bora huyo! Mtaani kwetu demu alifariki kwa kihoro! Alifumaniwa na mume redhanded lkn mume hakuchukua hatua yoyote, jamaa mgoni hakupigwa, mke hakuhojiwa wala kupewa kibano chochote, siku ya pili ikapita maisha yakaendela salama, ya tatu pia! Eeh demu akafa kwa presha ya kihoro!!!! Bora angemshushia kipigo mara elfu kuliko silent move alochukua ikamtoa roho mwenzie
 
Mwanamke niki pondo tu ndio wanashika adabu.... wanawake wana dharau sana... na binafsi kati ya vitu sipendi ni dharau na minyoso yaki pambuvu hasa kwa mwanamke.... kiukweli ntaku chezesha makofi tu manake hamna namna nyingine... na hapo ndio mapenzi yana noga na yana kua na heshima... hata demu wangu anajua kabisa niki kasirika ni shida, either atoke nje akae mbali au ni mchezeshe makofi... lakin ana nipenda na mimi nampenda ila upuuzi sitaki...Mwanamke ukisha muonyesha the other side of you mbona ana tulia tuli...
 
NGUVU za Giza znaeza kuhusika hapo otherwise huyo man ako na problems kwa akili
 
Na wewe mwanaume wa aina gani??
Mmbea [emoji53]
 
Asante kwa kushare hicho ulichokishuhudia ambacho kwa kweli si cha kawaida, mwanaume aliyekamilika hawezi kuwa hivyo wanaokuponda na pengine wako hivyo hivyo otherwise haijakaa vzr kbs hiyo hata kama huyo mwanamke angekuwa nani hawezi kuwa na utovu wa nidhamu iliyopitiliza namna hiyo, chukulia hiyo issue km case study ya ndoa.
 
Mwanzoni mwanzoni mwa hii sredi nilipoanza kuipitia nilidhani mleta mada mdada.
Dah!, kumbe kidume mwenzangu bana!!
Wanaume wenzangu tubadilike kidogo kwenye uandishi wetu.
Mwanzoni mwa hii mada imekaa ki-Everlyn Chumvi, Badili Mwenendo, Angel Plastic..Namna hii noma.
 
hahahaha majanga yani humu burudani kweli...anaweza kuwa boya kweli ila nadhani bora boya kuliko anayenyanyua visu na kumuua mkewe.....ila da mapenzi sio huyo mwanamke ataendelea tu kwa namna mwanaume anavojiweka...hapo mwanaume kafeli aisee na kawekwa kwenye cupa sio bure....au ustaarabu wake umepitiliza au upole umezidi...inatakiwa kila kitu kwa kiasi
 
Umenikumbusha katika mapito yangu nilikuaga na kadem flan kalikua kanachepuka balaa, lkn nikajifanyaga kuzima data kama sion kitu vile, nilikua naishi nako, sikutaka kumfatilia sababu alikua ni msafi wa nje tu ndani hoi, alikua mvivu sana kitandani sasa kituko nami nikatafuta changu nikaanza kutusua uko, akawa anashangaa mbona siulizi anapochelewa kurud, kumbe mimi nashukuru
 
Inawezekana jamaa wa watu hadindishi na ndiyo maana inamlazimu kunywea tu. Uanamume ni kula papuchi kwa ufasaha. Ukishindwa kula basi uanamume ndiyo unaishia hapo na madaraka yote ya ubaba yanayeyuka.
 
Back
Top Bottom