Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,903
- 829
Yani hapa ninahasira kibao, mwanaume wiki nzima ndani anakuangalia tuu hata kunidhuru hanidhuru, lipo tuu linajitia eti lipo busy na kazi, yani kama vile hanioni, kitanda nakiona kikubwa, nikimgusa anajidai kama vile kalala unono kumbe lipo macho, yani deadline nimemwekea ni leo, asiponigusa tuu, naenda kudhurika nje, mwanaume gani hana madhara?mbona zamani hakua hivyo, ananikera basi tuu, yani kantia hasira, kila mtu anayekatiza mbele yangu natamani nimtukane.
Mpe jichoYani hapa ninahasira kibao, mwanaume wiki nzima ndani anakuangalia tuu hata kunidhuru hanidhuru, lipo tuu linajitia eti lipo busy na kazi, yani kama vile hanioni, kitanda nakiona kikubwa, nikimgusa anajidai kama vile kalala unono kumbe lipo macho, yani deadline nimemwekea ni leo, asiponigusa tuu, naenda kudhurika nje, mwanaume gani hana madhara?mbona zamani hakua hivyo, ananikera basi tuu, yani kantia hasira, kila mtu anayekatiza mbele yangu natamani nimtukane.
huyo labda kama kuna mtu anamwagia waarabu.wanaomwaga wazungu hawawi hivyo.Shoga tabu yote ya nini?
Kula vichwa kama huna akili nzuri.
Ukiona hvo,ujue kuna mtu anammwagia wazungu wake.
Ukishindwa nitakusaidia.
Wanaume wanakera kwa kweli.
Yani hapa ninahasira kibao, mwanaume wiki nzima ndani anakuangalia tuu hata kunidhuru hanidhuru, lipo tuu linajitia eti lipo busy na kazi, yani kama vile hanioni, kitanda nakiona kikubwa, nikimgusa anajidai kama vile kalala unono kumbe lipo macho, yani deadline nimemwekea ni leo, asiponigusa tuu, naenda kudhurika nje, mwanaume gani hana madhara?mbona zamani hakua hivyo, ananikera basi tuu, yani kantia hasira, kila mtu anayekatiza mbele yangu natamani nimtukane.
Well said Horse Power. Dawa ya tatizo ni kutafuta namna ya kulitatua na sio kukimbia tatizo. Kama ukitoka nje.. Utatoka mpaka lini??? Au ndo utahamia huko ? Na je ndio utakuwa umetatua tatizo la mumeo kutokukudhuru?? Kufanya hivi ni kuleta mifarakano zaidi ndani ya ndoa na magonjwa.Mara nyingi huwa tunakimbilia kutupa lawama kwa wapenzi wetu kupoteza hamu ya kuwa na sisi bila kujichunguza na sisi kwa upande wetu tumefanya nini mpaka hali imefikia huko.
Kutoka nje ya ndoa na kutembea na watu hovyo si suluhu ya kusolve tatizo lako la ndoa, badala yake utaishia kupata magonjwa, kufumaniwa na pengine hata kunasa na hatma yake kuja kufia mbali! Jambo la kujiuliza ni Una ushahidi gani kuwa mwenzio hupata tiba nje ya ndoa? Kwa nini usitafute sababu halisi ya tatizo na kutatua ili mrudi kama zamani kuliko kukimbilia kugawa? Ukiendelea kugawa utagawa mpaka lini? Unajisikiaje kuwa msaliti ndani ya ndoa yako mwenyewe?
Sikia, kaa chini, angalia mwenendo wako na mapungufu yako. Kisha mwite mumeo mkae myasuluhishe. Unaweza kutafuta wamama watu wazima wenye akili zao wakakufundisha namna ya kumrudisha mwanaume aliyefikia hatua hiyo. Unaweza kuwapm na akina Kaunga, nyumba kubwa, Kongosho, nivea, FP , snowhite, gfsonwin, [MENTION]FP[/MENTION] na wengineo mpeane kitchen party ya ukubwani! Si jambo jema kuchukua hatua unazozifikiria.
Kila la kheri,
HorziPawa.
Bibie habari yako, kwanza punguza munkari na ondoa maneno ya kejeli maana huko nje kuna wanawake wana uke mtamu kuliko hata huo mdebwedo ulio nao. Umetutusi wanaume na kutudhalilisha hapa jamvini.
Kaa chini na mumeo uongee naye na utumie maneno haya haya uliyotumia hapa jukwaani, kifuatacho ITV itakua ndio suluhisho la ndoa yenu, otherwise jifunze adabu kwanza alaaah!
Haha hahaa watu8 mbona unatoka povu bana... Mwenzio anataka mtu wa kumdhuru ati na uvumilivu umemshinda. Huo munkari unatokana na ukame alio nao.. Otherwise sio lazima na wewe ulipize kwa maneno mabaya.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
unisamehe tuu ndugu yangu, kuchanganyikiwa huko. Nawaomba radhi wote ambao nimewakwaza kwa comment yangu
Imekaa sawa mradi tu ubize usije ukawa kisingizio kumbe mtu ana shibe zake! Mimi sikubali kabisa nitamng'ata hata meno ili iwe kumbukumbu kwake asiniletee mambo ya ubize siku nyingine.Mie kuna siku nilisema hapa
Watu wakabiiiiisha
Mwanamme akiwa busy tu, anakata service
Huna zombie bibie?
....wanaume mpo? Mnadhani wake zenu.wamefuata ugali maharage hapo?..