Huyu mwanaume mbona hanidhuru



hahahahah wanaume haooo yaan mwee wanakeraga sometimes wanajifanyaga wako busy sometimes full kua na milaptop ya kazi mpaka nyumban afu sasa bora awe anaacha mshiko wa kutosha kwa ajili ya familia....fyuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Kama deadline ni leo na leo unaenda kudhurika nje inaonyesha kuwa tayaru una mtu nje ambaye anakudhuru, hapa unatafuta justification tu.
 
mimi wanawake wa hivi ndo nawatakaga. kweli penye miti hamna wajenzi. lakini unakuta wanawake wanao ongea sana hivi ukimgusa lisaa limoja tu anaanza kulalamika mara ooh! niache niende haja ndogo kwanza ooh! naomba maji ya kunywa mara mguu umekaa vibaya ili mradi akutoe kwenye mood.
USHAURI WANGU:
Muandae mumeo kabla ya kupanda kulala. mechi ya usiku maandalizi asubuhi. kama wewe ni mtu wa kununa na kupigishana naye kelele hadi usiku hakuna kitakacho tokea hata leo. mwanaume anabembelezwa ka mtoto. mia
 
Nimekumiss MJ1 umepotea sana mzima wewe?

Yaani kwamba wewe umeshindwa kumtega? Eh we bi dada hebu uwage unakuja PM kwanza kabla hujarusha hadharani. Kwa mwanamke mbona ni rahisi tu kugeuza hali ya hewa best? Mashamushamu, ucheshi, upendo khanga za India, maji n.k umevimaliza?
 
Hata mie wangu mwezi sasa. Njoo tusaidiane mwenzangu. Nasikia ni raha tu kama kuwa na mwanaume. Tujaribu!
 

Usiende kwa mwanaume mwingine. Huko utadhurika zaidi.

Mpe ukweli... Mwambie kiupole na kimahaba. Jaribu kumvalia vitu kama skin tyt, leggings etc. Weekend mkabe.... Atakudhuru tu.. Yuko busy kweli
 
duh! mtoa mada kweli maneno yako makali inaonyesga jinsi gani unahasira!
Umeshajaribu kuongea nae lkn!
Maana issue c kumgusa 2 na kutorespond!
Ha ha haa,chezea hogo la jang'ombe weweeeeee
 
nendiwekilasa mumeo akirudi unampokeaje? kwa sauti ya hasira au sauti upole, upendo na unyenyekevu?
 
Last edited by a moderator:

Pole sana my sist, ila wakati umesononeka kwa tajwa hilo pia fikiri jinsi gani wewe hujajianda kudhuriwa kwani muda mwingi ulikuwa umeweka ligi ili mshinda achukue kikombe, naamini matatizo ni yenu wote wawili na msuluhishi hatatoka nje.....kuhusu kutafuta kudhuriwa nje well thought ila lazima ugundue ikipita kesho bado jamaa hatakuwa amebadilika na utahitaji tena na mwisho huyo nae akiwa kama wakwako utaongeza wa 2 3 4 .......20 na mwisho utapewa yale majina ya watoto wa mjini....Ushauri kaa na mwenzio mliongee hili jambo kinaga ubaga unaweza kuja gundua kumbe hata mwenzio anawaza the same ili kwa pamoja mzaidiane kuondoa huo mto unaowatenganisha au ikishindikana mtafute kivuko cha kuwakutanisha any time mkihitajiana....Madhara ya unayotaka kufanya au uliyowaza ni makubwa kuliko adha ya kukosa kudhuriwa siku 366, ni hayo tu miss hope utafanya maamuzi yenye hekima na utashi.
 
Huna ndoa, nipo mwenge napiga mzigo ukishuka ni beep nikakuondolee stress
 
Tutafutane mtu wangu tutatue tatizo, manake kucheat na dume noma!

Umejiunga leo na uchangiaji wako ndio huu, tafadhali rudi ulikotoka kwani huku kuna maadili na sio sehemu ya kuchafulia utukufu wa mungu........Pleassssssssssssssse rudi na mungu akusamehe umeshaanza vibaya
 

Kongosho Kiboko Yao.....!
Wanaume wa kuishi nao kihisia zaidi wanaumiza sana,hujui kinachoendelea,hujui umekosea wapi hadi kabadilika,ha-communicate,yaani hayo mateso yake anajua Mungu.
 
unataka kudhurika lakini madhara huyaoni! wasiotaka madhara wanadhurika kila siku,isingekuwa dharura dharura nawe pia ungedhuriwa,tena unge pata madhara sawasawe na yale wanayopata wenzako! ha!ha!ha!
 
Hahaaaaa.....! Anapata nje huyo, kesha kuchoka.
 
Usiwe na papara mdada,nimepita unakopita japo mwisho haukuwa mwema but no regrets. Usifanye uamuzi mkubwa na mbaya hadi ujue sababu ya mabadiliko yake ni nini,he might have very strong reasons kuwa alivyo.
Take your time and Mungu awe msaada wako kwenye hili. Cheating is never a good option.
 
Haiwezekani mwanaume rijali ati nini, ata kama anakula nje ati ndani hawezi sio kweli...ataweza tu mwanaume anauwzo wa kuwa na wanawake wengi.
Nahisi kuna tatizo kubwa ambalo wewe hulijui, ukijifanya mjuaji kwishney!!! nasema ivi ayo maneno umetamka apo juu mwambie laivu usikie anasemaje...democrasia sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…