Huyu mwanaume anavyonisaliti vibaya

Huyu mwanaume anavyonisaliti vibaya

binti555

New Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
3
Reaction score
1
Nina mwanaume tumekaa mwaka wa 5 huu na sasa nina ujauzito miezi mitatu.

Tatizo lake amekuwa akinisaliti kila mara ana wanawake kama 6 hivi tofauti na kibaya zaidi anataka tuanze kuishi wote sababu home pia wamekubali.

Mwaka jana ndio ametoa mahari hivyo sasa anataka tukae pamoja tulee pamoja.

Tatizo nawaza je hivi na yote machafu ya kuwa na wanawake wengi pembeni nikikaa nae ndio atatulia kulea mimba au ni bora kukomaa kuishi kwetu na wazazi wangu?
 
Nna mwanaume tumekaa mwaka wa 5 huu na sasa nna ujauzito miez mitatu. Tatizo lake amekuwa akinisaliti kila mara...ana wanawake km 6 hv tofauti na kibaya zaid anataka tuanze kuishi wote sababu home pia wamekubali...mwaka jana ndio ametoa mahari hivyo sasa anataka tukae pamoja tulee pamoja. Tatizo nawaza je..hv na yote machafu ya kuwa na wanawake wengi pembeni nikikaa nae ndio atatulia kulea mimba au ni bora kukomaa kuishi kwetu na wazazi wangu?
 
endelea tu kakaa kwenu, nigekuwa mimi kaka yako lazma nigekugegeda.
 
Nahisi kichwa chako kimejaa mchuzi badala ya ubongo...
Maana ungekuwa na ubongo hata wa mende tu...ungejiona jinsi gani ulivyo mjinga..
Kwa kifupi ngoja nikutoe gizani huyo jamaa amechoka kufua majinzi yake na kufagia na usafi kwa ujumla kwa hiyo anahitaji housegirl.....ambaye ni wewe apo...
HAKUNA KOSA KUBWA KATIKA MAHUSIANO KAMA KUTOKUWA MUAMINIFU....
 
kama ameshindwa kujitambua leo usitarajie kesho
 
Hao wanawake amekuwa nao kwasababu ya gap ya wewe kuwa mbali. Msiwe mnatuhukumu bila resoning. Wala usimlaumu hamia kwake halafu mwambie ukweli kwamba unajua yote ila ajitune sasa kuwa ni baba na alichokuwa akitafuta nje sasa kipo ndani full time. Ila wewe sasa uongeze ubunifu wa huduma ndani ili mwenzio aridhike na afute wengine akilini. Siyo unanukia mikojo ya mtoto hujui kujisafisha, unahoji mambo kama polisi na mtuhumiwa ukitegemea kufurahia ndoa. Kuwa mvumilivu ndoa inajengwa siyo automatic.
 
Mkuu nimemuelewa huyu jibibi aliyenasa kwa lijamaa lenye michepuko sita, sasa anaomba ushauri ili azeekee nyumbani.,

Huyu binti atakuwa na mtindio wa ubongo kama sio kichaa kabisa...mtu ana michepuko sita na unatambua live then bado unaomba ushauri wa kuishi nae....!!..
Sidhani kama anatumia ubongo kufikiria....au ndio yale yanayoitwa mahaba niuwe....??
Au ndio ule msemo wa mapenzi upofu unapotimia....??
 
Si mfunge ndoa tu kama keshatoa mahari? Umeshabeba mimba yake huna jinsi.....labda niulize hiyo tabia kaianza karibuni au miaka yote mitano alikuwa hivyo?
 
Nna mwanaume tumekaa mwaka wa 5 huu na sasa nna ujauzito miez mitatu. Tatizo lake amekuwa akinisaliti kila mara...ana wanawake km 6 hv tofauti na kibaya zaid anataka tuanze kuishi wote sababu home pia wamekubali...mwaka jana ndio ametoa mahari hivyo sasa anataka tukae pamoja tulee pamoja. Tatizo nawaza je..hv na yote machafu ya kuwa na wanawake wengi pembeni nikikaa nae ndio atatulia kulea mimba au ni bora kukomaa kuishi kwetu na wazazi wangu?

Ametoa mahali mwaka jana leo tuko November jamaa bado hajaoa??? Hiyo pete ya engagement bado haijabadilika rangi?? Juu ya hayo umekuwa ukijua kuwa jamaa sio muamifu lakini bado umebeba ujauzito...I think you are desperate, umeilazimisha sana hiyo ndoa(no).
 
Michepuko 6? Na wewe wa 7? Na hao sita ndio umepata kismati cha kuwafahamu duh!! Kama kwako hakuwa anatumia condom hadi umenasa vp huko kwingine? Tunasafari ndefu sana ya kupambana na ngoma. Em kapime kwanza.
 
Hao wanawake amekuwa nao kwasababu ya gap ya wewe kuwa mbali. Msiwe mnatuhukumu bila resoning. Wala usimlaumu hamia kwake halafu mwambie ukweli kwamba unajua yote ila ajitune sasa kuwa ni baba na alichokuwa akitafuta nje sasa kipo ndani full time. Ila wewe sasa uongeze ubunifu wa huduma ndani ili mwenzio aridhike na afute wengine akilini. Siyo unanukia mikojo ya mtoto hujui kujisafisha, unahoji mambo kama polisi na mtuhumiwa ukitegemea kufurahia ndoa. Kuwa mvumilivu ndoa inajengwa siyo automatic.

usimshauri mtu kwakuwa tu wewe niwa jinsia moja na huyo anayechepuka!. hata kama huyo dada angekuwaa sayari nyingine ndo awe na michepuko sita wewe dada kama unataka kufa na presha+ukimwi olewa sio lazima uolewe tu kwakuwa una mimba yake.

mchepuko mmoja haujamridhisha wewe ndo utaweza. kuna tabia akiwa nazo mwanaume huwezi mbadilisha kama ulevi,umalaya n.k
 
anza clinic mkapimwe afya wewe na michepuko ya bwanako
 
Yaani unamshangaa mzinzi wakati we mwenyewe mzinzi...Unless hiyo mimba iliingia kwa bluetooth!!
 
Neno moja tu: watu hawabadiliki tabia. Kama unahamia kuishi nae ujue michepuko hatakaa aache hadi afikishe miaka 60. Kama uko tayari kuumia hadi umzeeshe basi jilipue. Lakini usihamie, funga mnyororo wa ndoa kabisa ili walau ukiwa unalia utaonewa huruma na waja.
Nakutakia kilio chema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom