huyu mwanaume ananishangaza

huyu mwanaume ananishangaza

Ila ukumbuke hakuna urafiki wa mwanamke na mwanaume lazima tu mtatongozana tu kwa hiyo ni mwanamke kupima na kutafakari, tatizo dada zetu wengi hamfanyi hivo.
 
Mwanamke msimamo dia!! Jenga heshima yako, usikubali ng'oo!!! Akishalamba papuchi atalala mbele kutafuta mwingine....
 
Sijajua kama hii ni taarifa au ni kitu gani

Unalalamikia huyo jamaa kuvunja urafiki wenu au nini?

Au unalalamikia huyo jamaa kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja?
 
We mpatie mzigo jamaa ajishindie maana uzuri wa dude lile hata kama wamepita 50 haioneshi idadi ya waliotumia
 
Back
Top Bottom