Ndiyo yale unapomhitaji binadamu zaidi anavyokuhitaji tegemea kulaliwa.Sasa unakuwa na huyo mwanaume wa nini!! Si bora uwe mwenyewe tu lijulikane moja.
Kwa mafurushi tu hatuwafikii hata theluthi khaaah!!Sio mafurushi kwa jinsia zote kuna mifurushi sio wanawake na wala sio wanaume.
Huyu jamaa kweli anamlalia kwenye kula lakini cha kushangaza mdada anampiga vita na uwezo wa kujihudumia anao. Sasa anabaki naye wa nini ?
We umeshalaliwa my brother?Ndiyo yale unapomhitaji binadamu zaidi anavyokuhitaji tegemea kulaliwa.
Sio kwenye mapenzi tu hata katika maisha...
Haya mawazo ya kale! Kuna MTU asiye na mahitaji? Achana kusex u have sisters or mother hawana mahitaji? Sembuse mwanamke unayelalanae!Swali la utangulizi:
Naomba niulize hivi kuna wanawake wakikaa na kuishi bila kutumia pesa ya mwanaume kwao maisha hayaendi?
Mchango:
Anakulalia ni vibaya kama anakula hadi kwako ila kusex na wewe sio guarrantee ya kulipwa labda kama unamuuzia.
Ujue nilikuwa nasubiria dongo zito afadhali hili ni jepesi mitaweza kulibeba...Kwa mafurushi tu hatuwafikii hata theluthi khaaah!!
Hata mimi namshangaa, mie ningejikataa kimya kimya bila hata taarifa. Kwanza marufuku kuja kulala kwangu hata kama unalipia kodi wewe
Cc Bonny
Huyo dada hajiamini, miaka 30 kitu gani mtu ujikatie tamaa hivyo mpaka umlee mtu mzima mwenzio lakini?. Anajihisi tayari ana hitilfu sababu ana mtoto na umri umeenda na huyo kaka nae wala hana mpango nae ndo maana anamfanyia hivyo.Tatizo liko kwako, wala humpendi unaogopa umri wako kwenda. Huna malengo nae wala ndo maana walalama, halafu kuna baba mtoto anatunza mwana yaani hapo ni kizungumkuti!!!
Usimgande mtu sababu ya umri wako, utajuta. Mwenyewe labda keshakusoma ndo maana ya yote hayo
Na wewe mama alipokuwa aniachia nikulee akienda shambani...nikawa naona kuliko ulalie nyasi basi unilalie nilianza kukupenda toka mdogo sisyWe umeshalaliwa my brother?
Umeonaeena wakikusoma hawa viumbe utaisoma namba
duuuh
Ya kale au ya sasa!Haya mawazo ya kale! Kuna MTU asiye na mahitaji? Achana kusex u have sisters or mother hawana mahitaji? Sembuse mwanamke unayelalanae!
So what makes him a man then? Kama mahitaji hatoi? Anajua kupiga paipu tu! Being a man is not easy! Nimegundua "Free Pumbu mpo wengi".Mama usipendwe kupewa. Jitegemee. Simba jike ndo anayewinda.
natamani wanawake wote tungekuwa na huu mtazamo khaaa ukajikute unalea litoto la mwenzio kisa umri!!Huyo mwanaume anakusumbua ila unakomaa nae, na hapo hajakuoa akikuoa tegemea stress zaidi.....
unaolewa kisa umefikisha 30?
hebu chagua furaha kwanza