Huyu mwanaume ananichanganya sana

Sasa unakuwa na huyo mwanaume wa nini!! Si bora uwe mwenyewe tu lijulikane moja.
Ndiyo yale unapomhitaji binadamu zaidi anavyokuhitaji tegemea kulaliwa.

Sio kwenye mapenzi tu hata katika maisha...
 
Umemuendekeza mwenyewe huyo toka mwanzo, mwanaume gani anapenda mteremko hivyo? Sikufichi my dear huyo ni mchunaji hana lolote. Wewe hakupi pesa wala kukuhudumia lakin amini usiamini yupo anaemuhudumia kwa nguvu zote na hao ndugu unaoongea nao kwenye sim sio ndugu zake ni washkaji zake aliosoma nao chuo achana nae huyo super marioo aliyezoea vya kunyonga. Hakuna kumpa pesa, ukimpa tu hakurudishii na mwezi ujao atakuomba tena. Achana nae kwani kuolewa ni dili sana kwako? Usihofu waweza kuolewa na mdogo wangu anamaliza form four mwaka huu , huoni mambo ya uwoya wewe? Wasiwasi wako ni nini sasa? Achana na huyo fisadi wa pesa zako
 
Sio mafurushi kwa jinsia zote kuna mifurushi sio wanawake na wala sio wanaume.

Huyu jamaa kweli anamlalia kwenye kula lakini cha kushangaza mdada anampiga vita na uwezo wa kujihudumia anao. Sasa anabaki naye wa nini ?
Kwa mafurushi tu hatuwafikii hata theluthi khaaah!!

Hata mimi namshangaa, mie ningejikataa kimya kimya bila hata taarifa. Kwanza marufuku kuja kulala kwangu hata kama unalipia kodi wewe

Cc Bonny
 
Swali la utangulizi:

Naomba niulize hivi kuna wanawake wakikaa na kuishi bila kutumia pesa ya mwanaume kwao maisha hayaendi?

Mchango:
Anakulalia ni vibaya kama anakula hadi kwako ila kusex na wewe sio guarrantee ya kulipwa labda kama unamuuzia.
Haya mawazo ya kale! Kuna MTU asiye na mahitaji? Achana kusex u have sisters or mother hawana mahitaji? Sembuse mwanamke unayelalanae!
 
Kwa mafurushi tu hatuwafikii hata theluthi khaaah!!

Hata mimi namshangaa, mie ningejikataa kimya kimya bila hata taarifa. Kwanza marufuku kuja kulala kwangu hata kama unalipia kodi wewe

Cc Bonny
Ujue nilikuwa nasubiria dongo zito afadhali hili ni jepesi mitaweza kulibeba...
 
Tatizo liko kwako, wala humpendi unaogopa umri wako kwenda. Huna malengo nae wala ndo maana walalama, halafu kuna baba mtoto anatunza mwana yaani hapo ni kizungumkuti!!!

Usimgande mtu sababu ya umri wako, utajuta. Mwenyewe labda keshakusoma ndo maana ya yote hayo
Huyo dada hajiamini, miaka 30 kitu gani mtu ujikatie tamaa hivyo mpaka umlee mtu mzima mwenzio lakini?. Anajihisi tayari ana hitilfu sababu ana mtoto na umri umeenda na huyo kaka nae wala hana mpango nae ndo maana anamfanyia hivyo.
 
We umeshalaliwa my brother?
Na wewe mama alipokuwa aniachia nikulee akienda shambani...nikawa naona kuliko ulalie nyasi basi unilalie nilianza kukupenda toka mdogo sisy
 
Hata tukikushauri humuu kwa hiyo stage uliyofikia Huwezii kumuachaa...!! Wew vumilia tuu ilaa kama anapata mshahara jua Anakutumiaa tuu na hana mpangoo na wewee.. Hiyo miaka 30 ndo inayokutesa na kukufanya umvumilie kwa kuwa kakuahidi ndoaa.. Ilaa huyoo anakudanganya na kukutumiaa tuu..

Polee sanaa Jitahidi kuachana naee..
 
Haya mawazo ya kale! Kuna MTU asiye na mahitaji? Achana kusex u have sisters or mother hawana mahitaji? Sembuse mwanamke unayelalanae!
Ya kale au ya sasa!

Hakuna mtu asiye n mahitaji? hili kweli walai hakuna asiyekuwa nayo.

Hapo kuhusu mama na dada zangu sijui wamefikaje kwenye uzi.

Labda haujanielewa tu.... Hivi hakuna wanawake wanaoishi kwa kujitegemea na kujitimizia mahitaji yao wenyewe???? Unafikir hawana akili au?

Ukijibu hili swali ndiyo maana ya nilichochangia hapo juu.
 
Huyo mwanaume anakusumbua ila unakomaa nae, na hapo hajakuoa akikuoa tegemea stress zaidi.....
unaolewa kisa umefikisha 30?
hebu chagua furaha kwanza
natamani wanawake wote tungekuwa na huu mtazamo khaaa ukajikute unalea litoto la mwenzio kisa umri!!
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom