Ngoja watutajieKuna mwanasiasa asiyekuwa mnafiki?
Alishasema kuwa hataki kushauriwaKwani tangu lini mtaalam dikteta mungu Magufuli alikuwa tayari kusikiliza ushauri wa wapinzani?
Ubongo haubebwi na ubongo mwingine.Ila Marehemu kazidi
Mbali na UFIPA ngoja waje GREENZito hakuwahi kuwa mnafiki. Mtu pekee aliyechambua na kukosoa mwenendo wa kiuchumi Wakati wa hayati Magufuli bila ouga. Mpaka wakatunga sheria ya takwimu kumdhibiti.
Zitto kwa asili ni mnafiki mkubwa sana,yeye sehemu anapo ona pana ulaji au faida kwake yupo tayari kuuza utu wake ili afanikiweZito hakuwahi kuwa mnafiki. Mtu pekee aliyechambua na kukosoa mwenendo wa kiuchumi Wakati wa hayati Magufuli bila ouga. Mpaka wakatunga sheria ya takwimu kumdhibiti.
Na waliojaribu kumshauri basi walipigwa risasi nyingiAlishasema kuwa hataki kushauriwa
Umeonaeeeeeeeee?Na waliojaribu kumshauri basi walipigwa risasi nyingi
Kuna mwanasiasa asiyekuwa mnafiki?
Anachongea analeta uchonganishi kwenye jamii...wanyonge poleniKuna mwanasiasa asiyekuwa mnafiki?