Huyu mwanasiasa amemdhalilisha askari wa kike

Huyu mwanasiasa amemdhalilisha askari wa kike

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,664
11262142_1593040264269487_7928823730335487677_n.jpg
 
Kashazoea kuwabeba sana wadudu kama hao kama unabisha muulize ''shangazi''
 
hata miss tz nae alianza kwa kumbeba kama huyu hapo tusubiri ndoa ya pili pia tukumbuke panya wa kanisani anakula vya kanisani nae wa porini anakula vya porini
 
hata miss tz nae alianza kwa kumbeba kama huyu hapo tusubiri ndoa ya pili pia tukumbuke panya wa kanisani anakula vya kanisani nae wa porini anakula vya porini
Naye amegundua siku hizi anavaa mavazi ya Poriniporini
thubutu angevaa shati na suruali maana dushelelee imeshatuna hapo Toto lina mzigo taxotaxo pajapaja

11262142_1593040264269487_7928823730335487677_n.jpg
 
Back
Top Bottom