huyu mwanamke wa shoka!

Shida huleta ufumbuzi maana hata akuacha hana wa kumfanyia sasa yabidi afanye mwenyewe. Ndiyo ile tunayosema mtu akifika mjini anajifanya hajawahi ishi kijijini hata.
 
Shida mwanakharam mume yeyey katulia huko na mchepuko wake duh hatareeeeeee!
 
Shida huleta ufumbuzi maana hata akuacha hana wa kumfanyia sasa yabidi afanye mwenyewe. Ndiyo ile tunayosema mtu akifika mjini anajifanya hajawahi ishi kijijini hata.
hivi akitaka kushika break hapo inakuwaje,kama vile ule mkono ulioshika pipa ndo ulitakiwa uwe kwenye break!
 
hivi akitaka kushika break hapo inakuwaje,kama vile ule mkono ulioshika pipa ndo ulitakiwa uwe kwenye break!

Hapo ni kutupa pipa tu.
Hivi mkuu huli pipa la maji au la ulanzi? au achemshiaga makongoro maana jeusi! teh teh teh teh.
 
I dont want to be mean, huyu mama kweli ni jasiri lakini kashindwaje kutafuta hata vimiti viwili akavilaza kwenye carrier na kulifunga hilo pipa hapo nyuma!
 
Hata akimaliza kupika, kulaza watoto,baba hana chake!
 
hivi akitaka kushika break hapo inakuwaje,kam we .aa vile ule mkono ulioshika pipa ndo ulitakiwa uwe kwenye break!

hahaha, si unajua break ya mbele soo, unaweza jikuta chini. lol
 
hivi akitaka kushika break hapo inakuwaje,kama vile ule mkono ulioshika pipa ndo ulitakiwa uwe kwenye break!

Mkuu si unaona ngoma haina kinga matope (muddy guard) kwa hiyo break ni kuweka mguu kwenye tairi tu. Nimecheka sana!
 
Mkuu si unaona ngoma haina kinga matope (muddy guard) kwa hiyo break ni kuweka mguu kwenye tairi tu. Nimecheka sana!
kweli mkuu nadhani break yake itakuwa mguu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…