kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,059
- 3,646
wakuu kwema
Naombeni msaada wa kimawazo
Kuna mwanamke nampenda sana huu ni mwez wa 3 nipo nae kwenye mahusiano.
Kabla sijaanza nae mahusiano niliwah kumuuliza kuhusu mahusiano yake ya nyuma akanijibu alikuw na mtu ila aliamua kumuacha kisha akamblock sehemu zote kwa madai huyo ex boyfriend wake alikuw haeleweki ana alikuw na wanawake wengne.
Nimefatilia kwa kina ni kwel x wake hajawah tena kumtafuta huyu manzi ila cha ajabu manzi anawasiliana na kaka mtu na bado anamwita shemeji.
Yaan huyu manz nimeangalia sms zake yy ndo anamtafuta huyo wa kuitwa shemej ilihali ndugu yake alishamblock kwa madai anamchukia hamtaki tena.
Wakuu hapa mnanishaurije au ndo ile ushemej haufi.