Huyu mwanamke simwelewi naombeni msaada wa kimawazo

Itabidi kabla ya kutupia Uzi mtu aanze na kutaja umri wake
 
wakuu kwema

Naombeni msaada wa kimawazo

Kuna mwanamke nampenda sana huu ni mwez wa 3 nipo nae kwenye mahusiano.

Kabla sijaanza nae mahusiano niliwah kumuuliza kuhusu mahusiano yake ya nyuma akanijibu alikuw na mtu ila aliamua kumuacha kisha akamblock sehemu zote kwa madai huyo ex boyfriend wake alikuw haeleweki ana alikuw na wanawake wengne.

Nimefatilia kwa kina ni kwel x wake hajawah tena kumtafuta huyu manzi ila cha ajabu manzi anawasiliana na kaka mtu na bado anamwita shemeji.

Yaan huyu manz nimeangalia sms zake yy ndo anamtafuta huyo wa kuitwa shemej ilihali ndugu yake alishamblock kwa madai anamchukia hamtaki tena.

Wakuu hapa mnanishaurije au ndo ile ushemej haufi.
Achana naye, hilo ni genge la wahuni.
 
Mtu akikwambia ameacha pombe kwasababu kwa sasa nataka kuanza maisha mapya ya kumpokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wake ila kila siku anawasiliana na rafiki zake walevi na ni yeye ndie anawatafuta na kuwafuata bar kila jioni kama sehemu ya ratiba yao ya jioni jua ni swala la muda tu, utamaduni wa kulewa utaanza upya.
 
wakuu kwema

Naombeni msaada wa kimawazo

Kuna mwanamke nampenda sana huu ni mwez wa 3 nipo nae kwenye mahusiano.

Kabla sijaanza nae mahusiano niliwah kumuuliza kuhusu mahusiano yake ya nyuma akanijibu alikuw na mtu ila aliamua kumuacha kisha akamblock sehemu zote kwa madai huyo ex boyfriend wake alikuw haeleweki ana alikuw na wanawake wengne.

Nimefatilia kwa kina ni kwel x wake hajawah tena kumtafuta huyu manzi ila cha ajabu manzi anawasiliana na kaka mtu na bado anamwita shemeji.

Yaan huyu manz nimeangalia sms zake yy ndo anamtafuta huyo wa kuitwa shemej ilihali ndugu yake alishamblock kwa madai anamchukia hamtaki tena.

Wakuu hapa mnanishaurije au ndo ile ushemej haufi.

Wa Kazi gani huyo sasa?
 
Peleka moto ndugu yangu, hadi amsahau x wake!!! Km bado anahangaika naye kuna pahala bradha unafeli! Take care
 
wakuu kwema

Naombeni msaada wa kimawazo

Kuna mwanamke nampenda sana huu ni mwez wa 3 nipo nae kwenye mahusiano.

Kabla sijaanza nae mahusiano niliwah kumuuliza kuhusu mahusiano yake ya nyuma akanijibu alikuw na mtu ila aliamua kumuacha kisha akamblock sehemu zote kwa madai huyo ex boyfriend wake alikuw haeleweki ana alikuw na wanawake wengne.

Nimefatilia kwa kina ni kwel x wake hajawah tena kumtafuta huyu manzi ila cha ajabu manzi anawasiliana na kaka mtu na bado anamwita shemeji.

Yaan huyu manz nimeangalia sms zake yy ndo anamtafuta huyo wa kuitwa shemej ilihali ndugu yake alishamblock kwa madai anamchukia hamtaki tena.

Wakuu hapa mnanishaurije au ndo ile ushemej haufi.
Ukikuta siyo bikra ujue ni mke wa watu siku nyingi. Wewe unaongezea idadi tuu.
 
Back
Top Bottom