Huyu mwanamke simuelewi

Huyu mwanamke simuelewi

Chibolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
5,768
Reaction score
8,037
kuna dada nilimpenda baadae akanisalti akaolewa na jamaa mwingne amezaa naye mtoto akamtelekeza sasa kila siku ananipigia simu na kunibembeleza turudiane.ushauri wenu waungwana!
 
kuna dada nilimpenda baadae akanisalti akaolewa na jamaa mwingne amezaa naye mtoto akamtelekeza sasa kila siku ananipigia simu na kunibembeleza turudiane.ushauri wenu waungwana!

Unataka ushauri gani sasa hapo?

Na wewe mzalishe halafu umtelekezea...
 
kuna dada nilimpenda baadae akanisalti akaolewa na jamaa mwingne amezaa naye mtoto akamtelekeza sasa kila siku ananipigia simu na kunibembeleza turudiane.ushauri wenu waungwana!

Dada alikusaliti? Dada!
 
Mrudie tena umsomeshe na huyo mtt kama wako. ikibidi na ATM zako zote mpe na mshukie chumvini.
AKILI YAKO IMEDUMAA KWA KUNYWA VIROBA WAKATI UNA NJAA. UNGEKUNYWA HATA CHIBUKU UNGEKUA NA UWEZO WA KUTAFAKARI MAMBO YA KAWAIDA.
 
Mrudie maana jamaa atakua ameipanua papuchi ya huyo dada kwa hiyo wewe hautahangaika kwenye kugegeda,huo ndo ushauri wangu.
 
Wanawake ni shida nyingine jaribu kufta mwingine ambaye unadhni mtaelewana huyo baba mtoto akipiga simu lazima amwambie baby I mic u mtoto anakuhitaji pia mbna umenikimbia I stil love u an want u. Wakti we mwaume upo kazini unajituma kweli mama apate msosi na mtoto wa mchiz pia apate hata maziwa.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Naomba kwanza neno kusaliti tulitendee haki,naamini kusalitiwa ni kuwa kwenye ndoa au
ni wachumba na uloe wa kuwa umeishamtolea mtu mahari,vinginevyo mabinti hawarizishwi na hii habari ya ahadi kila siku ahadi mara tutaoana mwaka kesho
wakati huna sababu ya msingi unayoitoa,hivyo anaona unampotezea muda au anaogopa miaka ikienda utasema amezeeka,anakuaga anaolewa.binafsi sioni kama huo ni usaliti
 
kuna dada nilimpenda baadae akanisalti akaolewa na jamaa mwingne amezaa naye mtoto akamtelekeza sasa kila siku ananipigia simu na kunibembeleza turudiane.ushauri wenu waungwana!

Rudiana nae tu kaka akitokea mwngn anakutosa akaolewe tena akiachwa atakuja kwako tena kupumzkaa
 
Mtambaulishe nyumbani, fanya process zote za ndoa ili muwe mke na mume
 
Mrudie tena umsomeshe na huyo mtt kama wako. ikibidi na ATM zako zote mpe na mshukie chumvini.
AKILI YAKO IMEDUMAA KWA KUNYWA VIROBA WAKATI UNA NJAA. UNGEKUNYWA HATA CHIBUKU UNGEKUA NA UWEZO WA KUTAFAKARI MAMBO YA KAWAIDA.

Mkuu umenisaidia. Nilikuwa nafikiria namna ya kumsaidia kimawazo huyu jamaa ila kwa msaada wa mawazo haya ulompa . Yanamfaa mtu kama huyu. So to say bigup.
 
Back
Top Bottom