Huyu mwanamke simuelewi!!

Huyu mwanamke simuelewi!!

Dogo! Muhimu ya yote piga kitabu. Mahusiano yasikuzingue sana wala kukuumiza kichwa, nenda nayo na hali ilivyo au itakavyo kuwa. Na nikushauri tu zaidi uwe unawatembelea wajomba zako au wakina babu wakupe story za ujanani kwao, utajifunza kitu juu ya wasichana.
 
Nimekuwa kwenye mapenz na binti mmoja HV rika langu kabisa,mwanzoni tulipendana sana kipindi tuko mwaka wa kwanza chuoni tukikaa kwenye hostel za vyuo vyetu.Kwa hyo hata kugegedana ilkuwa tunakwenda guest tunamalizana tu fresh,huu mchezo uliendelea kwa miezi kadhaa kama nane HV.

Kilichonifanya nije niwaandikie waraka huu na kuomba ushaur n kwamba miez miwili iliyopita tuligombana mm na mpenz wangu mpk yy akaamua kusema hanitak tena ,amenichoka,kila MTU ashike zake,kiukweli mm nilikuwa bado namuhitaj huyu mwanamke sana tu na nilijitahd kumuomba msamaha japo wote tulikoseana lkn alikataa katakata kurudiana na mm. Mwez ujao tunaingia mwaka wa pili kwa hyo kila MTU imembidi kupanga chumba mtaani,nimemuomba turudiane ila amekataa lkn akaniambia kwamba nikishahamia getho kwangu rasmi atakuja kwangu kunielekeza kupika na akasema atalala kwangu,mm kuskia HVO nikajua labda kanisamehe so anataka turudiane lkn nilipomwambia suala LA kurudiana akakataa katukatu ila kuja kulala kwangu amesema atakuja hasa kunielekeza namna ya kupika msosi maana mm kiukweli sjui kuandaa diko. Kiukweli nashindwa kumuelewa maana inakuwaje aje kulala kwangu wakat kakataa kurudiana na mm?? Kama ingekuwa n kunifundisha mapishi angekuja mchana siku za weekend lkn yy anataka usiku , binafsi nimeshindwa kujua nn lengo lake hasa ila kumkatalia nimeshindwa ,na akija tutalala kama kaka na Dada au itakuwaje? ,so wadau mnipe mawazo maana nashindwa kumuelewa huyu mtoto.
Utakuwa mtoto wewe
 
Msomi wa Chuo upo na akili hiyo sasa kipindi hiki tutashuhudia mengi ebu tungoje na form four wamalize mitihani
 
Katika dunia ya Leo Mwanamke akizingua nayeye ndiyo akatoa maamuzi kuwa kila mtu kivyake, huna budi kufurahi kwani gharama za kuendelea kuwa nae ni kubwa muno kuliko kumwacha aende zake...
 
Yaani kuelewa kazi sana. Huyo anataka asiwe chini yako bali kula mzigo utakula kama kawaida Ila sio mchumba wako na huna mamlaka nae hata umkute yupo na mwingine. Nadhani umeelewa
 
Duh napata hofu na taluma yako inamaana hata DS husomi? Maana nakuona unashindwa kitu kidogo tu kutambua je angekwambia nataka mtoto ila sihitaji kuolewa kwako ungefanyaje? Huyo anajua msaada wako kwake na hasa darasani kwenye assignment ila mkimaliza chuo najua mwisho wenu getini
 
Yaani Mwaka wa pili chuoni huwezi kung`amua jambo dogo kama ilo ?!!? Harafu unategemea umalize chuo upate ajira? Nani atakubeba kilaza wa hivi? Hata STD 7 haulizi ujinga huu. Kwanza hata kupika hujui inaonyesha kilaza taslim.
 
Nimekuwa kwenye mapenz na binti mmoja HV rika langu kabisa,mwanzoni tulipendana sana kipindi tuko mwaka wa kwanza chuoni tukikaa kwenye hostel za vyuo vyetu.Kwa hyo hata kugegedana ilkuwa tunakwenda guest tunamalizana tu fresh,huu mchezo uliendelea kwa miezi kadhaa kama nane HV.

Kilichonifanya nije niwaandikie waraka huu na kuomba ushaur n kwamba miez miwili iliyopita tuligombana mm na mpenz wangu mpk yy akaamua kusema hanitak tena ,amenichoka,kila MTU ashike zake,kiukweli mm nilikuwa bado namuhitaj huyu mwanamke sana tu na nilijitahd kumuomba msamaha japo wote tulikoseana lkn alikataa katakata kurudiana na mm. Mwez ujao tunaingia mwaka wa pili kwa hyo kila MTU imembidi kupanga chumba mtaani,nimemuomba turudiane ila amekataa lkn akaniambia kwamba nikishahamia getho kwangu rasmi atakuja kwangu kunielekeza kupika na akasema atalala kwangu,mm kuskia HVO nikajua labda kanisamehe so anataka turudiane lkn nilipomwambia suala LA kurudiana akakataa katukatu ila kuja kulala kwangu amesema atakuja hasa kunielekeza namna ya kupika msosi maana mm kiukweli sjui kuandaa diko. Kiukweli nashindwa kumuelewa maana inakuwaje aje kulala kwangu wakat kakataa kurudiana na mm?? Kama ingekuwa n kunifundisha mapishi angekuja mchana siku za weekend lkn yy anataka usiku , binafsi nimeshindwa kujua nn lengo lake hasa ila kumkatalia nimeshindwa ,na akija tutalala kama kaka na Dada au itakuwaje? ,so wadau mnipe mawazo maana nashindwa kumuelewa huyu mtoto.
Anakugeuza mchepuko
 
tafsiri yake kakuona wewe bongolala hujiongezi wala hufikirii kujitegemea ndiyo maana kwakwambia kapange aje. ova
 
Back
Top Bottom