Huyu mwanamke simuelewi, naomba ushauri

Haahaaa[emoji23] [emoji23]
Wanaopitiaga status zangu WhatsApp huwa wananiuliza navuta bangi??? Hahahahaha yani huwa napost kitu hiko me mwenyew huwa nachekaaaa then nakipost dah maisha haya
 
Wanaopitiaga status zangu WhatsApp huwa wananiuliza navuta bangi??? Hahahahaha yani huwa napost kitu hiko me mwenyew huwa nachekaaaa then nakipost dah maisha haya
Hahaa haahaa haaahaa...that's y i like you!

Hufake life ni unajipa raha mwenyewe, ndo maana status na dp zako zinakuchana mbavu mwenyewe[emoji23] [emoji23]

Serious napenda watu wanaojikubali
 
Hahaa haahaa haaahaa...that's y i like you!

Hufake life ni unajipa raha mwenyewe, ndo maana status na dp zako zinakuchana mbavu mwenyewe[emoji23] [emoji23]

Serious napenda watu wanaojikubali
Katika hii dunia ukitaka kufake vitu utapata tabu sana cha msingi we jikubali tu mwagika uwezavyo ilimradi tu huchukui cha mtu basi ...maisha mafupi mno ya nini kujipa stress zisizokua na msingi wowote......relax
 
Katika hii dunia ukitaka kufake vitu utapata tabu sana cha msingi we jikubali tu mwagika uwezavyo ilimradi tu huchukui cha mtu basi ...maisha mafupi mno ya nini kujipa stress zisizokua na msingi wowote......relax
Sure sure....asee kati ya vitu sipendi humu duniani ni kumpa mtu stress or anipe mimi!

I love peace, raha then life goes on, mambo ya kutibuana tibuana aaagh! Full kichefuchefu[emoji36] ...

Halafu furaha unajipa mwenyewe ujue? Ukisubiri kupewa imekula kwako!
 
Hakuna atakayekuja kukupa furaha.....furaha ya kweli inatokana na wewe mwenyewe
 
aliyesoma hii nyuz afupishe maneno yasiyo zidi 10,
Ok ni hivi " huyo meraki ana demu but demu ana mshikaji yuko abroad ( na ndo demu anayemkubali, si unajua shobo za wadada wa kiswazi kupenda mambo ya nje)
Jamaa kazimika kinoma but demu kamueka kiporo chake, kikinuka kwa ' wassup usa baby' ndo jamaa atakuja kula makombo


Ni hayo mkuu ( sorry hayo maneno ni zaidi ya kumi)
 
Kama Meraki hajakuelewa hapa basi anatafuta kufa mapema. Umetoa ushauri mnene na umezingatia sana maelezo/ historia ya mlengwa. Huo ndo ukweli
 


Huyo ana mtu, anafanya siri vitu vyake kwa sababu anampima jamaa yake au anakuweka wewe as a substitute in case jamaa yake atamtupa chini.
 
ACHA KUJIDANGANYA KUWA NI MTU WA DINIII.....!!

NB:ASIKWAMBIE KULA TUNDA MSUBIRI MPAKA NDOAA.....ukijaa kuujua ukweli unaweza kunywaa Sumuu mzee... Wanawake wa chuo wanaojidai walokolee wanakuwagaa MALAYAAA SANAAAA
 
obviuos ana mtu mwingine,anashindwa kuamua awe na nan kati yenu,upo kwenye mizan mkuu ambae ata mess up mapema ndo atakua kajitoa kwenye ligi
All the best
 
Ngoja nikupatie ushauri,ila ningeomba kufahamu yafuatayo 1.Je bado ni bikra i mean umewahi kumuuliza hilo swali 2.Je katika uhusiano wenu unapokuwa naye hata kwa masaa 6 reaction ya simu yake ikoje yuko busy na cm au kawaida tu ina maana anapoenda nje au mahali hutembea na simu yake huwa aniacha 3.umewahi kumwambia kuwa hiyo tabia ya kukuzuia usizungumze na ndugu huipendi akasemaje 4.unaonae ukimwambia kuwa malengo yako ni kuwa na binti utakayeanza naye uhusiano na ndani ya miezi 6 iwe imeshajulikana kama ni yeye aseme yuko tayari na kama hayuko tayari akuruhusu uendelee na program zako ,,,bro hawa mabinti sio wa kuwaaamini kabisa ni mama zetu ,dada zetu lakini wanaweza kukuua kwa ajili ya mawazo na stress huku wao wakinenepeana,kuwa makini sana,muulize hayo maswali ukiona hakujibu kama unavyodhani mpe makavu live kuwa kuanzia sasa we na ye msiwe na uhusiano kwani huoni faida,baada ya hapo mchunie kama wiki 2 yaan kavu japo ni vigumu ila usipokee cm yake wala usimpigie wala kumjibu msg,utagundua kitu kama anakupenda lazima aje kwa kasi na akija mpe terms and conditons zako ukiwa seriuos,la sivyo kama huwezi basi achana na mapenzi tafuta pesa kwanza,mpende mama yako na nduguzako bila kumsahau Mungu
 
yaani wewe jichukulie kama unakulaga bar-maid.....ukikuta kawahiwa unakauka tuu.... akiwa free unasogeza golini.....ukifika wakati unataka kuoa...tafuta mnayependana.....hakika utampata,,,kila mmoja naamini kaumbiwa wa kwake...tatizo kumfikia...akili yako mwenyewe.....
 
Ndo unashindwa kufanya maamuzi mkuu Kuna rafiki yangu nilimshauri kitu issue km yako kwa kiufupi hakuna utofauti Sana alikuwa na demu wa Chuo jamaa alitaka amuoe ila demu kauli yake subiri nimalize chuo. Jamaa akamwambia lengo ukimaliza ndo nikuoe jibu lake likawa subiri nimalize.

Kuja kwangu akanishauri nikamwambia issue ndogo hiyo twende kwa wazee wake utapata jibu sahihi baada ya jamaa kufanya hivo wazee hawana pingamizi lolote issue iko kwa mwanamke jibu lake subiri amalize chuo.

Demu kamaliza chuo kauli yake ileile subiri bado sijakuwa tayari kwa Sasa tukafunga maamuzi jamaa kaoa demu mwengine mpaka Leo yule mwanachuo anasanda kitaa mwaka wanne huu.

So mkuu we fanya hivo kamchumbie kwania ya akimaliza chuo umuoe akikataa na huko piga chini ujue anamtu wake na akili yake iko huko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…