mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,963
Mwanamke ana kashfa utadhani baba yake ni MO.?
Alipofika tu ndani, chakwanza anauliza..
Hivi hii nyumba mwenye nyumba mnakaa nae au hayupo? Mbona nyumba mbaya hivi??
Amekwenda chooni aliporudi.
"Mbona choo kichafu namna hi, mnaishi VIP humu"
Alipo kaa kitandani
"Halafu wewe mchafu, mbona hata ndani hufagii?
Nilipowasha tv
"Hi tv nchi ngapi? Ni nzuri lakini kung'amuzi hiki mie sikipendagi hakina tamthilia nzuri"
Aggggggghhhhhh
Akaendelea kuuliza maswali mpaka nikatamani kumruhusu arudi tu huko kwao alikotoka.
Lakini nikafanya lililomleta, baada ya hapo nikamruhusu aende.
Lakini simtaki Tena geto kwangu.
NB.
Katika kumuuliza uliza nikagundua kuwa nae yumo humu JF. Sasa dada ukisoma uzi huu ujue Ni wewe.
Na Mimi ujue ndie mzee wa kasumba, Kama ulikua hujui..
Blalful
Sent using Jamii Forums mobile app