Huyu mwanamke si bure, pepo linamsumbua

Huyu mwanamke si bure, pepo linamsumbua

Ingekuwa mimi, alipopiga tu na kwa vile nilimpenda nilipomuona, ningemuuliza alipo na kumwambia anisubiri. Kitu cha kwanza nikimkuta ni hug la nguvu na la muda mrefu na makisi mengi sana kama kiroba kizima hivi, halafu namchukua tunaenda tunakaa mahali tunapiga sana story za kufahamiana. Kipindi chote hicho siuachii mkono wake na kama vipi nauzungusha mkono wangu kiunoni mwake. Love at first site tamu sana bhana,asikwambie mtu.
 
Back
Top Bottom