Huyu mwanamke si bure, pepo linamsumbua

Huyu mwanamke si bure, pepo linamsumbua

Sawa wewe kutana nae mpe hope kuwa unampenda sana na toka umuone lipstick yako haijainuka kwa dada yoyote, kiufupi ume mlove ile mbaya. Baada ya hapo mwambie ulikuwa na mademu wengi na umeamua kuasi toka kuonana na yeye. Muombe mukapime hiv, jidai kama wewe unahisi una wasi wasi juu yako, kumbe unamtega yeye, akikataa trust me jini huyo
 
Huyu manzi si bure, pepo linamsumbua
Kinyago cha mpapure, eti niue kwa ubua
Mandingo wa Juffure, bora hata kujichua
Kwenda naye kule, kende atanibabua
Atanipa mshawasha, nilambe galasha
Halafu kesho kwa dokta chini kunawasha
Moto washa, kwa kujifanya basha
Paramia makoloni kama Emil Pasha
Mtoto ka habeshi falasha, kanisomesha darasa
Kitabu cha anasa nikafungua kurasa
Kidogo kunasa, kwa mitindo fasta
Kutoka Mayenu mpaka sasa Kwasakwasa
Mvua za rasharasha, bila mwamvuli rasta
Narudi kinyumenyume kama nimeona Cobra ndani ya kasha
Nakacha, si kukosa Kwacha
Nikifa nikawaacha sitaacha pacha

Pande wa pili weka kujua, story kamili ya kishua
Sio hili unazua, shori kimwili kakuzingua
Hadithi siri unapakua, pa moja mbili unatuvua
Bado una mashtaka, yaelekea unamtaka
Vipi unatapatapa, JF unapandisha chapa?
Hapa utatoka kapa, kama bajeti ya Mkapa
Sana utapigwa bapa, na vibibi vyenye matiti lapa
Sikiza Kiranga Papa, kwa tungo anazowapa
Hili movie la kidosi? Tege tegeshea kibosi?
Hapa jua la utosi, apeche alolo mikosi
Watakupiga Mwangosi, toka bongo mpaka wabeba maboksi
Watakuchinja ukosi, nguo ndoo kaa Wagosi
Penzi penyeza misosi, kataza promo kufosi
Sikiza mkuu wa kikosi, wa kwanza ka Jumamosi
Weka upande wa pili, tukubali kama sala Jumapili
Weka upande wa pili, toa ugonjwa ka Muhimbili
 
Utakua mwanaume wa mkoani wewe umekuja kwa mjomba ako dar
 
Chukua muda mchunguze then fanya maamuzi yaliyo sahihi ukamchape au umpotezee, kuna mambo mengi chini ya jua ulivyopata wasi wasi ni vizuri, koz huwezi jua ana nia gani na wewe, usiangalie uzuri alionao wala nn, angalia maamuzi yako yapo sahihi kusudi usihatarishe maisha yako, wanaume wengi ni watu wa tamaa, na ndio udhaifu wetu huo, bro zingatia niliyokueleza kaa umchunguze muhoji vizuri kwa ufasaha, msome kila kitu then ndio ufanye maamuzi kuwa udate nae au umpotezee.....
 
WanaJamvi Habari zenu..
Jaman huu n Mkasa wa kweli ulionitokea Jana. Ilikuwa hivi, nilikuwa kwenye Daladala natoka Tegeta naenda Mlimani City kuangalia muv mpya ya 'Queen of Katwe'.. Kufika Maeneo ya Makongo akapanda Binti Mmoja Mrembo sana.. Mtoto Mashallah.. Alipanda na Kukaa Siti ya Nyuma yangu. Kwa uzuri aliokuwa nao nilitamani ningekaa nae Siti moja ili niweze hata kumsalimia tu.

Basi safari ikaendelea, kufika kituo cha Mpakani(Mbele kidogo ya Mwenge) Kuna Abiria mmoja(mwanaume) alikuwa anashuka, nilipomwangalia vzr nilikuwa namjua.. N mdogo wangu wa Mtaani kwetu.. Akanisalimia halafu akaniomba namba yangu ya Simu.. Nikamtajia(Nilimtajia namba yngu kwa Sauti Kidogo). Kisha yule mdogo wangu akashuka. Namba yangu ya simu iko vzr sio ngumu sana mtu kuikariri.

Mm nilipofika Kituo cha Mlimani City nikashuka. Ile Kushuka tu nikapokea sms, nilipoiangalia ilikuwa namba ngeni.. Sms ilisema 'Nilijua tunaenda wote Mawasiliano kumbe unashukia Mlimani City' nikamuuliza 'Nani Mwenzangu? '. Akanijibu 'Ni yule dada aliyekaa nyuma ya siti yako'... Niliduwaa kidogo huku moyo ukifurahi kupata namba ya yule mrembo.. nikamuuliza 'Umepata wapi namba yangu? '... Akanijibu.. 'Nimeipata wakati unamtajia rafk ako'.. Nikamwambia 'Poa'.

Basi toka Jana mpaka sasa ivi demu ananisumbua kinoma anasema ananipenda sana. Japo nilivutiwa nae lakini kwa jinsi alivyokuwa na ujasiri wa kunifungukia haraka ivi mpka naogopa. Kwa sababu sio kawaida. Hata sisi wanaume ukipata namba ya mwanamke unazuga kidogo hata siku mbili hivi halafu unamtongoza. Lakin kwa huyu demu imekuwa tofauti.. Yan jana kapata namba yngu.. Na jana hiyo hiyo kanifungukia... Wakat hanijui wala nn.. Nikajikuta nawaza kwa sauti 'Mapepo mengi sana Barabarani'. Usikute huyu demu ana Bwana ake.. Halafu barabarani anadandia watu ivi... Mzuka wote kwa huyu demu umeniisha. Yangu n hayo tu jaman
ni PM hiyo namba yake
 
Wewe ni mp..uz.i kweli mkuu. Huwa mnataka nini? Mtu kakupenda, kakufungukia, umekiri na wewe ulimpenda, bado unalialia nini? Au ni chai hii?
 
usiogope, hata awe na majini mia mbili we mfunike kwa damu ya Yesu then mgegede [emoji41]
 
Kutana nae umfaham zaidi unaweza kuta ni mtu mzuri kwako na upendo wake ni wadhati
Kati ya relationships nilizodumu nazo kwa muda mrefu zaidi,ni ambazo zilitokana na love at first site. Sijui kwanini, asilimia kubwa ya wapenzi ambao sikudumu nao, ni wale walionizingua wakati tunatongozana. Nadhani uhusiano wa kumfuatilia mtu sana, unaenda mpaka unaboa na kupoa kiasi kwamba siku ambayo mnarekodi kuwa mnaanza uhusiano, mtu unakuwa huoni hata jipya. Lakini penzi la papo kwa papo, ni kama umeme fulani hivi usioisha nguvu, kila siku mwenzi wako ni mpya tu.
Watu tumetofautiana sana aisee!
 
Kati ya relationships nilizodumu nazo kwa muda mrefu zaidi,ni ambazo zilitokana na love at first site. Sijui kwanini, asilimia kubwa ya wapenzi ambao sikudumu nao, ni wale walionizingua wakati tunatongozana. Nadhani uhusiano wa kumfuatilia mtu sana, unaenda mpaka unaboa na kupoa kiasi kwamba siku ambayo mnarekodi kuwa mnaanza uhusiano, mtu unakuwa huoni hata jipya. Lakini penzi la papo kwa papo, ni kama umeme fulani hivi usioisha nguvu, kila siku mwenzi wako ni mpya tu.
Watu tumetofautiana sana aisee!
Inachosha sana unakuta mpaka dem anakuja kukubalia we moyo wa dhati haupo tena maana utakuwa umetumia gharama nyingi kipndi unamuhangaikia hakukubali unajikuta ni sex unachukua tyme
 
Run background check ili kujithibitishia..
 
Back
Top Bottom