Huyu mwanamke si bure, pepo linamsumbua

Huyu mwanamke si bure, pepo linamsumbua

Chunga Sanaa mkuu anaweza kuwa ni popobawa uyo binti asee
 
WanaJamvi Habari zenu..
Jaman huu n Mkasa wa kweli ulionitokea Jana. Ilikuwa hivi, nilikuwa kwenye Daladala natoka Tegeta naenda Mlimani City kuangalia muv mpya ya 'Queen of Katwe'.. Kufika Maeneo ya Makongo akapanda Binti Mmoja Mrembo sana.. Mtoto Mashallah.. Alipanda na Kukaa Siti ya Nyuma yangu. Kwa uzuri aliokuwa nao nilitamani ningekaa nae Siti moja ili niweze hata kumsalimia tu.

Basi safari ikaendelea, kufika kituo cha Mpakani(Mbele kidogo ya Mwenge) Kuna Abiria mmoja(mwanaume) alikuwa anashuka, nilipomwangalia vzr nilikuwa namjua.. N mdogo wangu wa Mtaani kwetu.. Akanisalimia halafu akaniomba namba yangu ya Simu.. Nikamtajia(Nilimtajia namba yngu kwa Sauti Kidogo). Kisha yule mdogo wangu akashuka. Namba yangu ya simu iko vzr sio ngumu sana mtu kuikariri.

Mm nilipofika Kituo cha Mlimani City nikashuka. Ile Kushuka tu nikapokea sms, nilipoiangalia ilikuwa namba ngeni.. Sms ilisema 'Nilijua tunaenda wote Mawasiliano kumbe unashukia Mlimani City' nikamuuliza 'Nani Mwenzangu? '. Akanijibu 'Ni yule dada aliyekaa nyuma ya siti yako'... Niliduwaa kidogo huku moyo ukifurahi kupata namba ya yule mrembo.. nikamuuliza 'Umepata wapi namba yangu? '... Akanijibu.. 'Nimeipata wakati unamtajia rafk ako'.. Nikamwambia 'Poa'.

Basi toka Jana mpaka sasa ivi demu ananisumbua kinoma anasema ananipenda sana. Japo nilivutiwa nae lakini kwa jinsi alivyokuwa na ujasiri wa kunifungukia haraka ivi mpka naogopa. Kwa sababu sio kawaida. Hata sisi wanaume ukipata namba ya mwanamke unazuga kidogo hata siku mbili hivi halafu unamtongoza. Lakin kwa huyu demu imekuwa tofauti.. Yan jana kapata namba yngu.. Na jana hiyo hiyo kanifungukia... Wakat hanijui wala nn.. Nikajikuta nawaza kwa sauti 'Mapepo mengi sana Barabarani'. Usikute huyu demu ana Bwana ake.. Halafu barabarani anadandia watu ivi... Mzuka wote kwa huyu demu umeniisha. Yangu n hayo tu jaman
Unacheza na bahati wewe mtoto kafa kwako huyo. Hivi unataka upewe nini Aisee. Maisha yenyewe magumu. Kilasiku wanalia hapa kutafuta wachumba shauri yako[emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Aliona ulivyo mtolea macho, na mapepo yanawasiliana. Wewe ni pepo na yeye ni pepo. Ngoma drooo
 
images
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Kaa tayari kwa kizinga.
Ha ha Pengine dada wa Watu ameshamusa pesa. Na alivyo mwangalia akati anapanda Pengine dada wa Watu najua tu mshikaji kuingia kibra ni sekunde mbili tu chali[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Ha ha Pengine dada wa Watu ameshamusa pesa. Na alivyo mwangalia akati anapanda Pengine dada wa Watu najua tu mshikaji kuingia kibra ni sekunde mbili tu chali[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Wengine ni suicide bombers hawa.

Wanaweza kukupa kirusi kikali kuliko Putin when you put it in.
 
Najaribu kuwaza tu, hivi yeye ndio angemtajia namba kwa sauti mdogo wake wa kitaa, usingeichukua?
Anyway, kaka kiki koko kuku.
 
[emoji1] [emoji1] Fursa ka hzo mbna hazikatizi mbele yangu...????
 
Inachosha sana unakuta mpaka dem anakuja kukubalia we moyo wa dhati haupo tena maana utakuwa umetumia gharama nyingi kipndi unamuhangaikia hakukubali unajikuta ni sex unachukua tyme
Ndio hivyo, tatizo wanawake wengi wa Kiafrika wanadhani kumzungusha mwanaume ndio ustaarabu na mwanaume akikuvumilia ndio anakupenda kweli. Wasichoelewa ni kuwa wanaume wengine tunaboreka sana na style hizo za kupendana na hata wale wanaovumilia kumfuatilia mwanamke, huwa wengine wana silika hiyo tu na sio guarantee kuwa watadumu nae eti kwa vile walimpata kwa tabu.
Naheshimu mwanamke anaeniambia moja kwa moja kuwa hanitaki au yuko okay na mimi siku ya kwanza tu, kuliko yule anaenizungusha halafu nikirudi nyuma anaanza kujileta upya.
 
Kaka unatakiwa ushabihiane na wakati ...Au maji kufuata mkondo
 
Back
Top Bottom