Huyu mwanamke nimuoe?

Huyu mwanamke nimuoe?

Yaani kijana mtulivu na mpambanaji wa miaka 23 halafu unataka kuoa single mother mlevi wa miaka 28!
Umerogwa?
Una wazimu?
Limbwata lipo jamani. Sio kawaida hii.

Dogo acha ujinga, tulia endelea kutengeneza pesa, mabinti wazuri, watamu na wenye tabia njema wamejaa tele mjini na vijijini, hawaishi na hawataisha milele. Jipange hadi miaka 30 hivi, ndio uoe binti mpya kabisa, hao single mother waache wapambane na hali zao. Kwa sasa tulia kabisa.
 
Neno (Limbwata lipo jamani. Sio kawaida hii) Will drink for this!
 
Yaani kijana mtulivu na mpambanaji wa miaka 23 halafu unataka kuoa single mother mlevi wa miaka 28!
Umerogwa?
Una wazimu?
Limbwata lipo jamani. Sio kawaida hii.

Dogo acha ujinga, tulia endelea kutengeneza pesa, mabinti wazuri, watamu na wenye tabia njema wamejaa tele mjini na vijijini, hawaishi na hawataisha milele. Jipange hadi miaka 30 hivi, ndio uoe binti mpya kabisa, hao single mother waache wapambane na hali zao. Kwa sasa tulia kabisa.

Akae kwa Kutulia
 
Yaani kitendo cha kuomba ushauri humu kinadhihirisha aidha wewe punguani au umelogwa.

Kama sio huwezi omba ushauri kwenye ishu ndogo kama hiyo.

Single mother ni kama mtu anayekuja kuomba mkopo lazima awe mpole, mnyenyekevu, na mwenye tabia njema. Mpe mkopo sasa ndio utajua tabia za mkopaji.
Singe mother atakuaktia tabia zote uzitakazo ilimradi umuoe, ukishamuoe lazima usomeshwe namba
 
Tafuta mafanikio uongese idadi ya wanawake wanaokuoenda ili I we rahisi kwako kumake choice.
Umri unaruhusu wewe kuendelea kusubiria wakati ukipamabana maisha yanyooke zaidi na zaidi.
Pigs kazi, watakuja wengi saaana
 
Tafuta mafanikio uongeze idadi ya wanawake wanaokupenda ili iwe rahisi kwako kumake choice ya mke mzuri.
Umri unaruhusu wewe kuendelea kusubiria wakati ukipamabana maisha yanyooke zaidi na zaidi.
Piga kazi, watakuja wengi saaana
 
Usioe mwanangu wewe bado mdogo pambana na maisha hadi ufije at least 28 akili yako itulie usahau ulipotoka focus na unapokwenda.

Mke mwema huletwa na Mungu ukimpata hutajiuliza wala hutauliza mtu yeyote.
 
Oa ila angalia isije kuwa ana timu ya watoto na hapo we unamwona mmoja tu kesho atakuletea wengine wanne kisha akwambie niliona nkikwambia hutanioa!!! Ujiulize mpaka kama kakupenda kiivo aliwapenda wangapi na kafeli wapi!!??
 
Chunga sana....! Naona unataka kununua shamba ambalo tayari lina migogoro...!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom