chezo
Senior Member
- Oct 19, 2012
- 192
- 314
ondoa mawazo ya kuoa mbele ya madem unaotoka nao... usiweke mada ya kuoa au kutaka kuishi na mtu... tembeza bakora... mke utakutana nae njiani,. usitafute mke kwa vigezo utapotea ama utakuta umeoa mke wa mtu.... focus kwenye upendo wa kweli na sio upendo wa kutaka ndoa ama kuolewa. usitongeze kwa mistari ya kutaka kuoa.