Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 810
Kanikuta barabarani nimesimama na binti flani jirani wa mtaa wa pili nikimuuliza habari flani muhimu.
Gafla wife katokea hakuuliza wala nini,kaanza kuleta vurumai yule binti bahati nzuri kapenya kakimbia,nimsihi sana subiri nikueleze hakutaka kunielewa akageuka nyumbani mda huhuo kaniambia nitaona!!nilimpuuza nikaendelea na mambo yangu mengine.
Niliporudi jioni sikuamini nilichokiona,kapasua TV,kavunja meza kachomachoma sofa na kisu jikoni huko ndo kavunja vyombo kama kichaa.
sikumuuliza wala sikumfanya chochoteni nimeoga nimelala hapa nasubiri pakuche nimpele hospitali nikampime akili kwanza .
Naombeni mawazo endapo akiwa ni timamu nimfanye nini?

au hata
.