Kanikuta barabarani nimesimama na binti flani jirani wa mtaa wa pili nikimuuliza habari flani muhimu.
Gafla wife katokea hakuuliza wala nini,kaanza kuleta vurumai yule binti bahati nzuri kapenya kakimbia,nimsihi sana subiri nikueleze hakutaka kunielewa akageuka nyumbani mda huhuo kaniambia nitaona!!nilimpuuza nikaendelea na mambo yangu mengine.
Niliporudi jioni sikuamini nilichokiona,kapasua TV,kavunja meza kachomachoma sofa na kisu jikoni huko ndo kavunja vyombo kama kichaa.
sikumuuliza wala sikumfanya chochoteni nimeoga nimelala hapa nasubiri pakuche nimpele hospitali nikampime akili kwanza .
Naombeni mawazo endapo akiwa ni timamu nimfanye nini?
Mna watoto wangapi? na ndoa yenu ina mda gani?Kanikuta barabarani nimesimama na binti flani jirani wa mtaa wa pili nikimuuliza habari flani muhimu.
Gafla wife katokea hakuuliza wala nini,kaanza kuleta vurumai yule binti bahati nzuri kapenya kakimbia,nimsihi sana subiri nikueleze hakutaka kunielewa akageuka nyumbani mda huhuo kaniambia nitaona!!nilimpuuza nikaendelea na mambo yangu mengine.
Niliporudi jioni sikuamini nilichokiona,kapasua TV,kavunja meza kachomachoma sofa na kisu jikoni huko ndo kavunja vyombo kama kichaa.
sikumuuliza wala sikumfanya chochoteni nimeoga nimelala hapa nasubiri pakuche nimpele hospitali nikampime akili kwanza .
Naombeni mawazo endapo akiwa ni timamu nimfanye nini?
Anza upya.. Kuanza upya sio ujingaKanikuta barabarani nimesimama na binti flani jirani wa mtaa wa pili nikimuuliza habari flani muhimu.
Gafla wife katokea hakuuliza wala nini,kaanza kuleta vurumai yule binti bahati nzuri kapenya kakimbia,nimsihi sana subiri nikueleze hakutaka kunielewa akageuka nyumbani mda huhuo kaniambia nitaona!!nilimpuuza nikaendelea na mambo yangu mengine.
Niliporudi jioni sikuamini nilichokiona,kapasua TV,kavunja meza kachomachoma sofa na kisu jikoni huko ndo kavunja vyombo kama kichaa.
sikumuuliza wala sikumfanya chochoteni nimeoga nimelala hapa nasubiri pakuche nimpele hospitali nikampime akili kwanza .
Naombeni mawazo endapo akiwa ni timamu nimfanye nini?
HahahaKanikuta barabarani nimesimama na binti flani jirani wa mtaa wa pili nikimuuliza habari flani muhimu.
Gafla wife katokea hakuuliza wala nini,kaanza kuleta vurumai yule binti bahati nzuri kapenya kakimbia,nimsihi sana subiri nikueleze hakutaka kunielewa akageuka nyumbani mda huhuo kaniambia nitaona!!nilimpuuza nikaendelea na mambo yangu mengine.
Niliporudi jioni sikuamini nilichokiona,kapasua TV,kavunja meza kachomachoma sofa na kisu jikoni huko ndo kavunja vyombo kama kichaa.
sikumuuliza wala sikumfanya chochoteni nimeoga nimelala hapa nasubiri pakuche nimpele hospitali nikampime akili kwanza .
Naombeni mawazo endapo akiwa ni timamu nimfanye nini?
Alikuwa kwenye HEAT PERIOD! HUYO SIO KOSA LAKE, HUWA MNAKUTANA MARA NGAPI KWA JUMA? TUANZIE HAPO....