Huyu mwanamke ni mfanye nini?

Huyu mwanamke ni mfanye nini?

Mmhhh...kesho uwahi Milembe! Akili yako haiko sawa wallahi. Kuna post yako humu unadai mchepuko kaenda kumdai mkeo hela ya matumizi, ndo huyo? Nyingine umedai bosi wako anamgegeda "mchumba" wako mwingine,
Mwakani tutarajie upost baba mkwe anamlala mkeo,
Any way matokeo ya NECTA yatoke tu ukamate "0" maana hata kumbukumbu ya mtiririko wa matukio huna! Pumbavu!
Hivo watu wengine Akil zao huwa ziko sawa kwel? Maana unakuta alishaletwa post kadhaa previous then anakuja na post mpya ambayo ukilinganisha matukio hayaendan sasa nashindwa kuelewa hiz habari huwa za kwel ama mtu akiziona kwa jiran au kusimuliwa then analeta mada kama yeye ndio muhusika. UPUMBAVU TYPE
 
Mr mgeni...........ufumbuzi wa togauti yako na mkeo ni kwa njia ya MARIDHIANO tuu............
 
Hivo watu wengine Akil zao huwa ziko sawa kwel? Maana unakuta alishaletwa post kadhaa previous then anakuja na post mpya ambayo ukilinganisha matukio hayaendan sasa nashindwa kuelewa hiz habari huwa za kwel ama mtu akiziona kwa jiran au kusimuliwa then analeta mada kama yeye ndio muhusika. UPUMBAVU TYPE
Kweli mkuu. Hao ni madogo waliomaliza form 4 juzi. Wapo kwa mama zao wanalishwa kama vifaranga
 
Mkuu dawa Acha nyumba ikae hivyo hivyo hata kwa mwaka .. we hata wage ni wakitaka kuja wakaribishe kwa roho safi uone
Kweli hii
Ungeenda kulala nje kama siku 3 uone kama hajakutafuta mwnyw kishajua ww zoba ndio maana kafanya uharibifu huo

Yaani mkaushie kwa mwezi mzima, ukiamka oga zako nenda kazini na urudi jioni. Mpe displine kuwa kama bubu don't ask or question anything for sometimes. Don't buy anything distroyed
 
Kabla haujamuoa wakati wa uchumba ulipaswa kumuudhi ili kujua jazba zake. ulipaswa siku moja bila sababu yoyote umchape makofi na kumchani blauzi yake.

atakuua huyo, atachoma nyumba huyo hata kama mmepanga ni hatari sana. utakuta kawachinja watoto huyo hafai.
 
Wifi yangu alikuaga hvyo hvyo...anavunja vitu vyote
 
Aliachaje?
talakaa

kuna kipindi alimwagia maji ya betri nguo za mmewe zote

akaona haitoshi akavunja vyombo vyoteee...
walikua wanauza viatu mwenge akavikata kata na viwembe akamwaga rangi zote yaani mmewe anarudi alipiga ukunga huoo....
 
Aisee Pole sana brother....alafu wanauliza kwanini familia nyingi wanaume ndo wanaanza kufa,kwa mtindo huu stress hazitatuisha....binafsi ninakushauri usimuulize chochote kuhisiana na uharibifu alioufanya instead we ujitahidi ufanye replacement ila akijaribu kurudia tena kitendo kama hicho mchape viboko maana anaonesha bado hajakua vizuri

Pole sana brother ndo ukubwa huu tuwazoee tu hawa ndugu zetu na ujitahidi sana umfanye akuamini
 
Kabla hatujashauri cha kufanya ama wewe mwenyewe hujachukua uamzi wowote hebu sema ukweli kale kabinti ulikofumwa nako unakula mzigo? ulikuwa unaomba mzigo ama ndo ulikuwa unaweka mazingira ya kuomba mzigo?
Be honest please, msema kweli hutumbua kwa haki.
 
That is why divorce is so important to the mariage institution
 
Mmhhh...kesho uwahi Milembe! Akili yako haiko sawa wallahi. Kuna post yako humu unadai mchepuko kaenda kumdai mkeo hela ya matumizi, ndo huyo? Nyingine umedai bosi wako anamgegeda "mchumba" wako mwingine,
Mwakani tutarajie upost baba mkwe anamlala mkeo,
Any way matokeo ya NECTA yatoke tu ukamate "0" maana hata kumbukumbu ya mtiririko wa matukio huna! Pumbavu!
Hapa yeye ndio wa kupimwa akili.
 
talakaa

kuna kipindi alimwagia maji ya betri nguo za mmewe zote

akaona haitoshi akavunja vyombo vyoteee...
walikua wanauza viatu mwenge akavikata kata na viwembe akamwaga rangi zote yaani mmewe anarudi alipiga ukunga huoo....
huyo kichaaa
 
JF c ya kuingilia kichwa kichwa kuna watu wanafuatilia habari zako mzee mguu kwa mguu so you have to be care maana utadabwa
 
talakaa

kuna kipindi alimwagia maji ya betri nguo za mmewe zote

akaona haitoshi akavunja vyombo vyoteee...
walikua wanauza viatu mwenge akavikata kata na viwembe akamwaga rangi zote yaani mmewe anarudi alipiga ukunga huoo....
Kuna mama alimfumania mumewe akachukua nguo za mumewe zoooooote hadi chupi, akatia ndani ya gari la mumewe akaenda kuvitia moto(gari na nguo)
 
Back
Top Bottom