Huyu mwanamke ni mfanye nini?

Huyu mwanamke ni mfanye nini?

We mrembo unachekelea mambo ya hatari?,je yakikukuta na wewe?,kumbuka haya ni maisha tu au vipi?, iko siku na wewe utakuja humu chupi mkononi tayari umetendwa je utachekaaaaaa tena?.
Upo ya ngapi kiongozi? nikuongeze nyingine?
 
Kuna watu mnapendeza hapa dunuani,nashindwa hata kujieleza jamani,huyo uliomchunuku hakika anafaidi mpaka ananenepa bila kujijua au vipi?,hebu uni PM nikujulie hali mamii.
Yaaani nimehisi unamjua, yah kusema ukweli anafaidi na kanenepa mpaka basi yaani, itakua ngumu kukupm maana cna cha zaidi ninachotaka, utanisamehe kwa hilo
 
Kanikuta barabarani nimesimama na binti flani jirani wa mtaa wa pili nikimuuliza habari flani muhimu.

Gafla wife katokea hakuuliza wala nini,kaanza kuleta vurumai yule binti bahati nzuri kapenya kakimbia,nimsihi sana subiri nikueleze hakutaka kunielewa akageuka nyumbani mda huhuo kaniambia nitaona!!nilimpuuza nikaendelea na mambo yangu mengine.

Niliporudi jioni sikuamini nilichokiona,kapasua TV,kavunja meza kachomachoma sofa na kisu jikoni huko ndo kavunja vyombo kama kichaa.

sikumuuliza wala sikumfanya chochoteni nimeoga nimelala hapa nasubiri pakuche nimpele hospitali nikampime akili kwanza .

Naombeni mawazo endapo akiwa ni timamu nimfanye nini?

HUNA MKE KAKA, MWACHE KABISA, HIVO VITU VIMEMKOSA NINI? HIVYO NI KURUDISHANA NYUMA KIMAENDELEO, UKININUNUA VINGINE ATAVITUMIA?
 
Kanikuta barabarani nimesimama na binti flani jirani wa mtaa wa pili nikimuuliza habari flani muhimu.

Gafla wife katokea hakuuliza wala nini,kaanza kuleta vurumai yule binti bahati nzuri kapenya kakimbia,nimsihi sana subiri nikueleze hakutaka kunielewa akageuka nyumbani mda huhuo kaniambia nitaona!!nilimpuuza nikaendelea na mambo yangu mengine.

Niliporudi jioni sikuamini nilichokiona,kapasua TV,kavunja meza kachomachoma sofa na kisu jikoni huko ndo kavunja vyombo kama kichaa.

sikumuuliza wala sikumfanya chochoteni nimeoga nimelala hapa nasubiri pakuche nimpele hospitali nikampime akili kwanza .

Naombeni mawazo endapo akiwa ni timamu nimfanye nini?
Ondosha nyaraka zako muhimu ndani ya nyumba hiyo, tafuta pahala kazihifadhi, atachoma nyumba huyo mkeo!...ushauri: punguza mgegedo, mkune kiduchu tu, usimkune sana! huoni umemtia uchizi sasa?!!! 😛😛😛😛
 
Yaaani nimehisi unamjua, yah kusema ukweli anafaidi na kanenepa mpaka basi yaani, itakua ngumu kukupm maana cna cha zaidi ninachotaka, utanisamehe kwa hilo
Basi sawa,ila siku ukimpiga chini usishau kuni PM.
 
Kanikuta barabarani nimesimama na binti flani jirani wa mtaa wa pili nikimuuliza habari flani muhimu.

Gafla wife katokea hakuuliza wala nini,kaanza kuleta vurumai yule binti bahati nzuri kapenya kakimbia,nimsihi sana subiri nikueleze hakutaka kunielewa akageuka nyumbani mda huhuo kaniambia nitaona!!nilimpuuza nikaendelea na mambo yangu mengine.

Niliporudi jioni sikuamini nilichokiona,kapasua TV,kavunja meza kachomachoma sofa na kisu jikoni huko ndo kavunja vyombo kama kichaa.

sikumuuliza wala sikumfanya chochoteni nimeoga nimelala hapa nasubiri pakuche nimpele hospitali nikampime akili kwanza .

Naombeni mawazo endapo akiwa ni timamu nimfanye nini?
Kiongozi hakikisha umepiga picha huo uharibifu alofanya!ukishampima akili whether mzima au ni kicha achana nae atakuja kukuua usingizini huyo!
 
Kanikuta barabarani nimesimama na binti flani jirani wa mtaa wa pili nikimuuliza habari flani muhimu.

Gafla wife katokea hakuuliza wala nini,kaanza kuleta vurumai yule binti bahati nzuri kapenya kakimbia,nimsihi sana subiri nikueleze hakutaka kunielewa akageuka nyumbani mda huhuo kaniambia nitaona!!nilimpuuza nikaendelea na mambo yangu mengine.

Niliporudi jioni sikuamini nilichokiona,kapasua TV,kavunja meza kachomachoma sofa na kisu jikoni huko ndo kavunja vyombo kama kichaa.

sikumuuliza wala sikumfanya chochoteni nimeoga nimelala hapa nasubiri pakuche nimpele hospitali nikampime akili kwanza .

Naombeni mawazo endapo akiwa ni timamu nimfanye nini?
Uyo ashakuwa jipu hvyo mpeleke kwa sizonje akatumbuliwe
 
Vipi kusahau kubomoa kitanda au umelala kwenye jamvi
 
Kanikuta barabarani nimesimama na binti flani jirani wa mtaa wa pili nikimuuliza habari flani muhimu.

Gafla wife katokea hakuuliza wala nini,kaanza kuleta vurumai yule binti bahati nzuri kapenya kakimbia,nimsihi sana subiri nikueleze hakutaka kunielewa akageuka nyumbani mda huhuo kaniambia nitaona!!nilimpuuza nikaendelea na mambo yangu mengine.

Niliporudi jioni sikuamini nilichokiona,kapasua TV,kavunja meza kachomachoma sofa na kisu jikoni huko ndo kavunja vyombo kama kichaa.

sikumuuliza wala sikumfanya chochoteni nimeoga nimelala hapa nasubiri pakuche nimpele hospitali nikampime akili kwanza .

Naombeni mawazo endapo akiwa ni timamu nimfanye nini?

Mkuu, huyo simple tu,

Usinunue TV, acha aliyoivunja iendelee kukaa mahali pake, na hakuna kuiondoa.
Usinunue Sofa, acha alizochomachoma ziendelee kukaa hapo zilipo
Meza aliyovunja ifungefunge na mipira iache hapo hapo mezani
Na kila kitu alichokiharibu kiache kama kilivyo mahali pake, na piga biti kweli kisisogezwe chochote.

Acha vikae hapo kwa miezi kama mitatu hivi., wewe endeleeni na maisha kama kawa, kuwa mpole, ila akitaka kutoa chochote alichoharibu mbadilikie hadi aone ukichukia unakuwaje.
Acha ili hata mgeni akija aone jinsi huyo mwanamke ni kialaza kiasi gani.

Baada ya muda huo, trust me asipobadilika nitamuomba Anko jpm ajistaafishe.
 
Back
Top Bottom