Huyu mwanamke namuacha rasmi

Huyu mwanamke namuacha rasmi

Ewaaa... sasa uje uchukue orodha ya wale ambao bado sikuwakagua... Anza na huyu Mzigua90

Cc: Ulweso

Niko mlimani huku nawaombea... staki usumbufu...

Kwani huyu Mentor niliyewaachia hajatiniza haja za ukaguzi?

Hawataki kuamini kuwa wewe ndiye uliyenituma. Kizazi hiki cha miujiza na ishara. Wanataka mpaka sauti itoke mbinguni wakuamini. Ila nadhani baada ya neno lako hili wana wako watabadilika.

Cc: Mzigua90 - maelekezo ya babu nianze na wewe. Wewe ukaguzi tutamaliziana jikoni nitakufundisha kutengeneza 'lemon bars'
 
Ukimalizana na Mzigua90 unipe taarifa ili nimlete kwako tena Shunie .
 
Huyu binti aliwahi kunisingizia mimba miaka kadhaa iliyopita na baada ya kugundua si yangu nikampiga chini. Aliniletea aibu kwa familia lakini nashukuru yalishapita.

Juzikati tulikorofishana (sababu zingine kabisa) bila aibu akaenda kwa bi mkubwa kunishtakia na kuoma msamaha kwa yaliyotokea huko nyuma ( ya kunibambikia mtoto). Mama alishangaa sana kwanini nimemrudia. Siku nimekwenda kwa mama, mama akaniambia "yule hata kama utamuoa, ni jeuri sana yule". Sikumjibu kitu mama.

Sasa kwa hali hiyo ya kuniwekea masharti mi namuacha. Au nyie mnashauri nini wakuu?

Ila Jamani hawa mabinti tunawapa mtihani kweli kweli. Ushauri bro;

1) Kama unapiga na kusepa we sepa. Si ushapiga mkuu? Kwa sababu nia yake ni njema tu kwako muoane. Na naturally uhusiani wa Mwanaume na Mwanamke ndo huo. Hizi zingine tunarasimisha tu lakini si sawa. Kama humtaki huyo, tafuta binti oa. Hawa hawa wanawake ndo tunakuja kuwaoa sasa tunakomoana wenyewe mwisho wa siku.

2) Kuhusu kiburi, wewe pima kama utaweza chukuliana naye, kama huwezi tafuta binti mwingine OA.

3) Mimba kabla na mimba baada. We kwa akili yako tofauti hapo ni nini? Kwamba mtoto akiwa mweusi huoi? Kama binti umekaa naye na ukaona anafaa OA. Unamharibia mwanaume mwenzio ataekuja kumuoa kama we huoi
 
Cc: Ulweso

Hawataki kuamini kuwa wewe ndiye uliyenituma. Kizazi hiki cha miujiza na ishara. Wanataka mpaka sauti itoke mbinguni wakuamini. Ila nadhani baada ya neno lako hili wana wako watabadilika.

Cc: Mzigua90 - maelekezo ya babu nianze na wewe. Wewe ukaguzi tutamaliziana jikoni nitakufundisha kutengeneza 'lemon bars'
Nimeamini si unajua mjini hapa huchelewi kukutana na wasiojulikana [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Hapana... niko hapa naota moto nikiwa nachoma nyama ya kondoo... karibu nikuonjeshe
Asante sana [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] nakuja na ninavyopenda nyama [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] naja
 
kua kwanza utafanya maamuzi baadaye. swala la mtoto si la kukurupuka na mke ni zaidi ya sura... unaendeshwa na uzuri wake na hisia zako juu yake zinafunika uhalisia..uanaume si kuvaa suruali na kupanga chupa bar uanaume ni kubeba na kuchukua maamuzi mazito.. rangi uionayo ya mwanamke kamwe haitobadilika.. akili kichwani na mzigo huo ni wako kumeza/kutema uamuzi ni wako
Ahsanteeee
 
wewe pumbavu na mwanamke pumbavu...sioni sababu ya kuachana wakati wote akili zenu mbovu
 
Nilipo maliza kusoma simulizi hii, nimejikuta bawaza mengi Sana na nikaishia kucheka tu.....[emoji2] [emoji2]
 
Asante sana [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] nakuja na ninavyopenda nyama [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] naja
Sikujua kama unapenda nyama... unapenda nyama laini au ngumu?
 
Wala humuachi huyo dada ..... kama ulishindwa pindi alipokusingizia ujauzito endeleeni tu na mahusiano yenu uwe unamrekebisha yale usiyoyapenda
 
Back
Top Bottom