Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,062
Nishamwambia soja hapo getini ukifika tu hakuna shidaWaooo!!! Thank you Mrs mm ndo huyo
Nakaribia nifungulie get tu

Santeee ndo maana nakupendagaNishamwambia soja hapo getini ukifika tu hakuna shida
Niko poa kabisa, nakutakia usiku mwema lala unonoSanteee ndo maana nakupendaga
Otherwise umeshinda poah lkn
Mrs
Thank you pia kwako lalaNiko poa kabisa, nakutakia usiku mwema lala unono
Amina kubwa.Thank you pia kwako lala
Salama ucngiz mwanana kwako
[emoji521]Amina kubwa.
Haa haa babu ushazeeka Sasa na
Kwani kuna mtu alikudanganya niko town? Mi niko bush huku napambana na mbuzi wangu...Haa haa babu ushazeeka Sasa na
Mpaka uko na mkongojo rud tu
Bush ukakatie mbuz nyas
Haa ha haa aiseee Sasa hukujaKwani kuna mtu alikudanganya niko town? Mi niko bush huku napambana na mbuzi wangu...
Kondoo ntaanza kuwafuga mwakani. Ngoja kwanza hawa mbuzi wajifungue...Haa ha haa aiseee Sasa hukuja
cjui kondoo utaniuziaje
mzee baba umeandika vizuri sanaDah, mkuu naona kama wewe ndiye mwenye matatizo hapa.
1. Unaonesha bado hujakubaliana na maelezo yake juu ya kilichotokea kuhusu mtoto. Hivyo, ingawa humuambii, lakini moyoni mwako unajua huna amani wala imani kubwa ju yake.
2. Ngono ni kitu kimoja powerful sana. Kilimuangusha hadi mfalme Daudi. Ukifanya ngono na mtu kuna maamuzi mengine baadaye ukija kuyawaza huamini kama uliyafanya. Dunia ya sasa imefanya ngono kuonekana kuwa kitu cha kawaida (kuingizia na kutoa) lakini kiuhalisia ni very powerful. Kama utaweza, mkae walau mwezi (ningependekeza ile formula maarufu ya siku 90) bila kufanya ngono. Muishi kawaida na kushirikiana mambo mengine. Kama baada ya siku hizo 90 utajisikia bado unampenda na kumhitaji basi tutahamia point ya 3.
2 (b). Kama ukigundua upo naye kwa kuwa ni mzuri wa sura na umbo na kwamba yupo tayari kwa ngono kila unapomhitaji then naamini unajua cha kufanya. Hiyo pia itasaidia kujua kinachokupa hesitation huenda ni ile 'nimemzoea' tu na si upendo kama ambavyo unajiaminisha.
3. Ukigundua kuwa unampenda kweli na mnaweza kuishi pamoja na kupanga na kufanya mengine bila kuwa na kiunganishi cha ngono, basi fanya jambo la busara ambalo naamini ungependa dada zako wafanyiwe. Nenda kamchumbie mfunge ndoa. Muoneshe unamthamini. Kisingizio cha kusema mtoto wa kwanza hukumpata ndani ya ndoa hakitosi kuhalalisha yeye kushika mimba yako sasa. Wanasema kufanya kosa si kosa bali kurudia kosa. Kila siku tunaimba hapa kuwashauri single mothers kutorudia hayo (hapa nakumbuka maushauri tunayompaga dada mmoja anajiita Anna pita ). Kama kweli unampenda, umepata amani ya yote yaliotokea na hutokuja kuyatumia baadaye kumuumiza (ni muhimu sana upate amani ya moyo juu ya haya) basi fanya hima mfunge ndoa. pamoja na kwamba dini zinatutaka hivyo lakini kisheria itamlinda yeye na watoto.
4. Hili jambo nimelifikiria leo wakati nawaza ya kwangu. Ndoa ni jambo la ajabu sana. Yani unaondoka kwa watu uliounganishwa nao kwa damu (mama yako) na kwenda kuishi na mgeni (mkeo) na tena anakuwa na priority kuliko mama yako wa damu. Ni fumbo ambalo nimewaza nikakosa jibu. Lakini point yangu ni, unapofanya uamuzi huo (kama ni wa imani basi omba sana) jua ni uamuzi unaotakiwa 99% uwe ni mawazo yako peke yako. Ukichanganya ushauri wa watu juu ya nani uwe naye hamtofika mbali. Simaanishi upuuze ushauri wa mama yako lakini jitahidi sana kufanya maamuzi yako. Hata ukimuacha huyu.
5. Hii nimarudio lakini nadhani ni ya muhimu kuisema tena. Maelezo yako yanaonesha bado una 'reservations' juu ya binti. Bado una kusitasita juu yake, maelezo yake na huna amani 100%. Jitahidi sana kabla hamjapeana mimba uwe umesuluhisha hili moyoni mwako. Umewaficha ndugu na wazazi juu ya mtu unayetuambia unampenda. Mimi hapa naona red flag kubwa mno...ni vile nikiandika zaidi utachoka kusoma.
MWISHO nisaidie kumpa hongera huyo binti kwa kuweza kujilinda asishike mimba ya pili kabla ya ndoa. Kwake ndoa ni muhimu ila inaonesha kwako haina uthamani wowote (sikuhukumu though). Ila mpe hongera zangu na ukiweza muambie akuepuke mpaka pale ambapo definition zenu za maisha (hasa ndoa kwa hapa) zitakapofanana.
Wewe mentor ni genius sana kwenye haya mambo ya mahusiano. Uliwahi kumshauri rafiki yangu kuhusu wanawake wawili na aliscreenshot akanitumia. Naye yupo humu JF japo siijui ID yake lakini aliscreenshot ushauri uliompa DM.Dah, mkuu naona kama wewe ndiye mwenye matatizo hapa.

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hahaha babu Asprin Ulweso ni she
hahaa haaMbona mademu niwengi sana sahv vyuo vimetapika ..nawashangaa watu mnavyokomaa na machizi
yaaani ...acha kabisaaa....vijana hawaelewi hayaUsitegemee sana kuishi kwa kuomba ushauri hadi kwenye masuala binafsi kama haya (mapenzi).
Everyone is fighting a silent battle. Pengine ya kwako ni madogo sana. Man up, and take full responsibility of your damn life!
Follow your heart, but take your brains with you!