Huyu mwanamke kaniudhi; wanawake toeni mpewe!

Huyu mwanamke kaniudhi; wanawake toeni mpewe!

Huyo mwanamke hujampenda ndo maaana unajifaragua hapa, iko hivi, "wanaume hua tunapenda
(tunaona raha) kuvunjwa na wanawake tunaowapenda"
Hakuna mwanaume mjanja ukipenda kweli
 
Mbona yeye alipokuwa na KIU alimtosa? Si angempa tu, kwani bao moja kitu gani? Kama yeye hakutoa hata bao moja, aende akale majani. No bao, no money! Ukauzu ukauzu!!!!!!
Mkuu najaribu kujiuliza kaswali ka kizushi "hivi huyo binti angekua ndio mpenzi/mwanao ungekubali awe anatoa angalau bao moja kwa kila anayemtongoza kisa anaweza kupata shida baadae akakosa msaada?" (Nimejikuta natafakuri kwa sauti)
 
Mwanamke huwa hana njia ingine ya kukumbusha endapo ulimtongoza akakukatalia zaidi ya kukuomba hela, na ukimpa hawezi kurudishia, yaan hapo anakwambia ombi lako limepokelewa ss we zubaa
Mimi simtaki tena maana nina vyombo vikali hata zaidi yake
 
Kuna msemo uliosemwa na mwanazuoni mmoja, nanukuu; 'Kupa ni kumpa akupaye, kumpa asiyekupa ni kutupa.'Hivi miezi saba ya nyuma, kuna dada mmoja nilimzimia kinoma nilikua nikifanya nae kazi nilifanya kila namna ya kutengeneza nae ukaribu, hadi tukawa tunachati na kidume nikatupa ndoano.

Demu akanichomolea na kudai kuwa, ana mpenzi wake ambaye wamepenga kuoana. Akaongeza na maneno ya kuniudhi zaid kuwa, hamna ninachokosa kwake hivyo, haoni haja ya mwanamume mwingine baada ya kuona yupo very strict na hataki, nikaamua ku give up sasa juzi nimeamka asubuhi, nikakuta missed calls zake 3. Nikampigia hakupokea.

Baada ya kama dk 15 hivi, akanitext, 'Mambo Mjina', nilipomjibu, akanitumia text ndefu ambayo nai-paste; 'Mjina, naomba nisaidie 25,000 nina shida nayo, naomba nisaidie jamani Mjina, najua huwezi kosa. Pls don't say no.'

Niliiangalia tu ile text na kusema hiiiii! Siku ijibu alivyoona kimya, akaanza nisumbua kunipigia na ma txt kibao sijajibu mimi. Nikajisemea kimoyo moyo, mwambie huyo husband to be akupe si ulisema hakuna unachokosa kwake.

Wadada mkitaka mpewe, aisee muwe mnatoa pia siyo mnabana kutoa alafu mnataka kupewa

Mjina Mrefu..
Kwahio huwezi kumsaidia mwanamke mpaka akupe papuchi?!! Mbona papuchi kitu kidogo sana ndugu yangu....
 
Kwani budget yake ulikua umepanga akikupa utumie Bei gani, nilishakosa mtoto mkali 2005 kwa kutompa 6000 aliyokua ana shida nayo na Kipindi hicho nilikua nisharusha nyavu nikaambiwa nitafikiriwa japo kila nilipokua nakumbushia nilikua napewa blah blah
 
Yeeeees! Tit for tat is a fair play. Huwezi kuvuna pale usipopanda. Aende akamuombe huyo mwanaume suruali wake. Viuno akatike kwingine aje akapewa fedha kwingine? Mpuuzi nn? Mkuu kama ungempa hizo fedha ningekuona fala wa kukata nashoka. Komaa hivyo hivyo, wala usimjibu hiyo mitext uchwara anayokuandikia.
Amsaidie kama binadamu wengine tu
 
Mtumie hiyo pesa halafu kaa wiki nzima usipige simu wala kutuma sms,utapata matokeo mazuri....kuwa mwanaume si mchezo
 
Kuna msemo uliosemwa na mwanazuoni mmoja, nanukuu; 'Kupa ni kumpa akupaye, kumpa asiyekupa ni kutupa.'Hivi miezi saba ya nyuma, kuna dada mmoja nilimzimia kinoma nilikua nikifanya nae kazi nilifanya kila namna ya kutengeneza nae ukaribu, hadi tukawa tunachati na kidume nikatupa ndoano.

Demu akanichomolea na kudai kuwa, ana mpenzi wake ambaye wamepenga kuoana. Akaongeza na maneno ya kuniudhi zaid kuwa, hamna ninachokosa kwake hivyo, haoni haja ya mwanamume mwingine baada ya kuona yupo very strict na hataki, nikaamua ku give up sasa juzi nimeamka asubuhi, nikakuta missed calls zake 3. Nikampigia hakupokea.

Baada ya kama dk 15 hivi, akanitext, 'Mambo Mjina', nilipomjibu, akanitumia text ndefu ambayo nai-paste; 'Mjina, naomba nisaidie 25,000 nina shida nayo, naomba nisaidie jamani Mjina, najua huwezi kosa. Pls don't say no.'

Niliiangalia tu ile text na kusema hiiiii! Siku ijibu alivyoona kimya, akaanza nisumbua kunipigia na ma txt kibao sijajibu mimi. Nikajisemea kimoyo moyo, mwambie huyo husband to be akupe si ulisema hakuna unachokosa kwake.

Wadada mkitaka mpewe, aisee muwe mnatoa pia siyo mnabana kutoa alafu mnataka kupewa

Mjina Mrefu..
Haha mkuu ungempa afu umtongoze tena,huwezi jua labda husband to be kamuacha

Ndo ikawa gia ya kujisogeza kwako,aone kama akikupa nafasi utamsaidia kwenye shida

Ushafeli mtihani mkuu.
 
Back
Top Bottom