Dinnah
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 791
- 1,062
Hiyo elfu 25Mwambie aje achukue gheto kwako,
Kwisha habari..
Angefanya iokote style hadi gheto
Hiyo elfu 25Mwambie aje achukue gheto kwako,
Kwisha habari..
😂😂😂Hiyo elfu 25
Angefanya iokote style hadi gheto
Nmeanza awamu hii shemelaSHemela, mizinga umeanza lini?
Kuna msemo uliosemwa na mwanazuoni mmoja, nanukuu; 'Kupa ni kumpa akupaye, kumpa asiyekupa ni kutupa.'Hivi miezi saba ya nyuma, kuna dada mmoja nilimzimia kinoma nilikua nikifanya nae kazi nilifanya kila namna ya kutengeneza nae ukaribu, hadi tukawa tunachati na kidume nikatupa ndoano.
Demu akanichomolea na kudai kuwa, ana mpenzi wake ambaye wamepenga kuoana. Akaongeza na maneno ya kuniudhi zaid kuwa, hamna ninachokosa kwake hivyo, haoni haja ya mwanamume mwingine baada ya kuona yupo very strict na hataki, nikaamua ku give up sasa juzi nimeamka asubuhi, nikakuta missed calls zake 3. Nikampigia hakupokea.
Baada ya kama dk 15 hivi, akanitext, 'Mambo Mjina', nilipomjibu, akanitumia text ndefu ambayo nai-paste; 'Mjina, naomba nisaidie 25,000 nina shida nayo, naomba nisaidie jamani Mjina, najua huwezi kosa. Pls don't say no.'
Niliiangalia tu ile text na kusema hiiiii! Siku ijibu alivyoona kimya, akaanza nisumbua kunipigia na ma txt kibao sijajibu mimi. Nikajisemea kimoyo moyo, mwambie huyo husband to be akupe si ulisema hakuna unachokosa kwake.
Wadada mkitaka mpewe, aisee muwe mnatoa pia siyo mnabana kutoa alafu mnataka kupewa
Mjina Mrefu..
mimi hata kama sina ya kumpa huwaga nawaambia waje wachukue homeKuna msemo uliosemwa na mwanazuoni mmoja, nanukuu; 'Kupa ni kumpa akupaye, kumpa asiyekupa ni kutupa.'Hivi miezi saba ya nyuma, kuna dada mmoja nilimzimia kinoma nilikua nikifanya nae kazi nilifanya kila namna ya kutengeneza nae ukaribu, hadi tukawa tunachati na kidume nikatupa ndoano.
Demu akanichomolea na kudai kuwa, ana mpenzi wake ambaye wamepenga kuoana. Akaongeza na maneno ya kuniudhi zaid kuwa, hamna ninachokosa kwake hivyo, haoni haja ya mwanamume mwingine baada ya kuona yupo very strict na hataki, nikaamua ku give up sasa juzi nimeamka asubuhi, nikakuta missed calls zake 3. Nikampigia hakupokea.
Baada ya kama dk 15 hivi, akanitext, 'Mambo Mjina', nilipomjibu, akanitumia text ndefu ambayo nai-paste; 'Mjina, naomba nisaidie 25,000 nina shida nayo, naomba nisaidie jamani Mjina, najua huwezi kosa. Pls don't say no.'
Niliiangalia tu ile text na kusema hiiiii! Siku ijibu alivyoona kimya, akaanza nisumbua kunipigia na ma txt kibao sijajibu mimi. Nikajisemea kimoyo moyo, mwambie huyo husband to be akupe si ulisema hakuna unachokosa kwake.
Wadada mkitaka mpewe, aisee muwe mnatoa pia siyo mnabana kutoa alafu mnataka kupewa
Mjina Mrefu..
Poa nitafanya hivyoAkikubali kukuuzia nitag mkuu!
Poa nitafanya hivyoAkikubali kukuuzia nitag mkuu!
Mkuu wewe ungemsaidia tu kama rafiki,ishawahi nitokea hivyo mwanzoni alinitolea nje na alivyoniomba mi nilimsaidia tu kama rafiki...kuanzia pale tukawa marafiki zaidi coz mwanzoni alivyokuwa anaomba alijua nitamchomolea but kumbe sina mishe hizo..siku ya siku ye mwenyewe aliamua tu kunitunukuKuna msemo uliosemwa na mwanazuoni mmoja, nanukuu; 'Kupa ni kumpa akupaye, kumpa asiyekupa ni kutupa.'Hivi miezi saba ya nyuma, kuna dada mmoja nilimzimia kinoma nilikua nikifanya nae kazi nilifanya kila namna ya kutengeneza nae ukaribu, hadi tukawa tunachati na kidume nikatupa ndoano.
Demu akanichomolea na kudai kuwa, ana mpenzi wake ambaye wamepenga kuoana. Akaongeza na maneno ya kuniudhi zaid kuwa, hamna ninachokosa kwake hivyo, haoni haja ya mwanamume mwingine baada ya kuona yupo very strict na hataki, nikaamua ku give up sasa juzi nimeamka asubuhi, nikakuta missed calls zake 3. Nikampigia hakupokea.
Baada ya kama dk 15 hivi, akanitext, 'Mambo Mjina', nilipomjibu, akanitumia text ndefu ambayo nai-paste; 'Mjina, naomba nisaidie 25,000 nina shida nayo, naomba nisaidie jamani Mjina, najua huwezi kosa. Pls don't say no.'
Niliiangalia tu ile text na kusema hiiiii! Siku ijibu alivyoona kimya, akaanza nisumbua kunipigia na ma txt kibao sijajibu mimi. Nikajisemea kimoyo moyo, mwambie huyo husband to be akupe si ulisema hakuna unachokosa kwake.
Wadada mkitaka mpewe, aisee muwe mnatoa pia siyo mnabana kutoa alafu mnataka kupewa
Mjina Mrefu..
akikunyima uje kuchukua kiroho safiMwambie akale alikopeleka mboga shwain zake, asee mjina hauna ten hapo ambalo halina mawork???!!!
LiongoooooooooooooooooooooooHujapenda bado.
Me kuna kibinti kigoli nshakiongga mamilioni but hata kukigusa sijawahi. Majibu ni nnnyoko nnyoko but kikinipiga mzinga naregea natoa kishingo upande sembuse 25,000/==
Just kidding*@@-&#@&$"$#&#
Kwani kaokota lioneFanya kumsaidia tu mkuu, kwani 25,000 kitu gani bana
Lione acha hizo si utoe pesa yakoMkuu wewe ungemsaidia tu kama rafiki,ishawahi nitokea hivyo mwanzoni alinitolea nje na alivyoniomba mi nilimsaidia tu kama rafiki...kuanzia pale tukawa marafiki zaidi coz mwanzoni alivyokuwa anaomba alijua nitamchomolea but kumbe sina mishe hizo..siku ya siku ye mwenyewe aliamua tu kunitunuku
Hivi unazijua nyodo mkuuuuuuuuuuuuu acha hizo umbululaMkuu wewe ungemsaidia tu kama rafiki,ishawahi nitokea hivyo mwanzoni alinitolea nje na alivyoniomba mi nilimsaidia tu kama rafiki...kuanzia pale tukawa marafiki zaidi coz mwanzoni alivyokuwa anaomba alijua nitamchomolea but kumbe sina mishe hizo..siku ya siku ye mwenyewe aliamua tu kunitunuku
Mmh toka hiyo yako ampeHahah Wewe mjina toa tu unaweza ukapewa badae. Mtoto Wa Kike hafanyiwi Roho mbaya. Wewe msaidie tu .. 25,000 ni kidogo mno. Mtoto Wa kiume unalia mno.
[emoji23][emoji23]Elfu 25 umeanzisha uzi?
Ukiombwa laki si utaita waandishi wa habari!
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mwambie akale alikopeleka mboga shwain zake, asee mjina hauna ten hapo ambalo halina mawork???!!!