Huyu mwanamke kaniudhi; wanawake toeni mpewe!

Huyu mwanamke kaniudhi; wanawake toeni mpewe!

Hujapenda bado.

Me kuna kibinti kigoli nshakiongga mamilioni but hata kukigusa sijawahi. Majibu ni nnnyoko nnyoko but kikinipiga mzinga naregea natoa kishingo upande sembuse 25,000/==



Just kidding*@@-&#@&$"$#&#
Wewe ni bwege sio mjanja una hongaje mapesa yote hayo pasipo kuona dalili zozote
 
Blessed is the hand that gives than the one that receives.
 
Lovely!
Maisha ni zaidi ya "nyeti"
Mwanaume mzima unajitapa kumnyima sh.25,000/= mwanamke tena mfanyakazi mwenzio ambaye kesho na keshokutwa anaweza akawa na msaada mkubwa kwako kuliko hata hiyo papuchi.

Jitafakari upya mkuu!
 
Acha kinyongo na kufikiria kwa kuwa ulimtongoza akakwambia anaye wake anayempa kila kitu,mpige laki mwambie nirudishie ukiwa tayari afu mwambie ukiwa na muda mjina nikutoe lunch,lazima uwe mvumilivu au kanunue malaya upunguze kujiumiza kichwa.
 
jiongeze wew acha kulia lia kuwa mwanaume wa kweli hebu MPE icho kiasi
Huwez jua anaweza badili mawazo baada ya kupokea kias
 
Back
Top Bottom