Ningemrushia tu hiyo 25k kiroho safi kabisa, labda niwe sinaJiweke ktk nafasi yangu, ungefanyaje ingekua ni wewe?
Yaani... Ndo alikuwa amejileta mazima kabisaa. Sema tu hiyo ilikuwa gia ya kuingilia, hata ungejibu text zake kuwa huna isingekuwa kitu, kwani alichokitaka ni kama alikuwa tayari amekipata.Kuna msemo uliosemwa na mwanazuoni mmoja, nanukuu; 'Kupa ni kumpa akupaye, kumpa asiyekupa ni kutupa.'
Hivi miezi saba ya nyuma, kuna dada mmoja nilimzimia kinoma nilikua nikifanya nae kazi.
Nilifanya kila namna ya kutengeneza nae ukaribu, hadi tukawa tunachati na kidume nikatupa ndoano.
Demu akanichomolea na kudai kuwa, ana mpenzi wake ambaye wamepenga kuoana. Akaongeza na maneno ya kuniudhi zaid kuwa, hamna ninachokosa kwake hivyo, haoni haja ya mwanamume mwingine.
Baada ya kuona yupo very strict na hataki, nikaamua ku give up.
Sasa juzi nimeamka asubuhi, nikakuta missed calls zake 3. Nikampigia hakupokea.
Baada ya kama dk 15 hivi, akanitext, 'Mambo Mjina', nilipomjibu, akanitumia text ndefu ambayo nai-paste; 'Mjina, naomba nisaidie 25,000 nina shida nayo, naomba nisaidie jamani Mjina, najua huwezi kosa. Pls don't say no.'
Niliiangalia tu ile text na kusema hiiiii! Siku ijibu. Alivyoona kimya, akaanza nisumbua kunipigia na ma txt kibao sijajibu mimi. Nikajisemea kimoyo moyo, mwambie huyo husband to be akupe. Si ulisema hakuna unachokosa kwake.
Wadada mkitaka mpewe, aisee muwe mnatoa pia. Siyo mnabana kutoa alafu mnataka kupewa
Mjina Mrefu..
Hahaaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji125] [emoji125]Ndo hapo sasa 25 kitu gani..ebu nirushie mie fasta
Jamaaa kashindwa kuusoma mchezo, yeye kaangalia hela tu, teh!!Yaani... Ndo alikuwa amejileta mazima kabisaa. Sema tu hiyo ilikuwa gia ya kuingilia, hata ungejibu text zake kuwa huna isingekuwa kitu, kwani alichokitaka ni kama alikuwa tayari amekipata.
Akikubali kukuuzia nitag mkuu!Haha,
Ipo twenty, ila je, hii theory ya TOA UPEWE unakubaliana nayo?
Tuanze kwanza na hapo
Jidanganye na endelea kutudanganya hivi wanawake unawajua au unawasikiaga tuYaani... Ndo alikuwa amejileta mazima kabisaa. Sema tu hiyo ilikuwa gia ya kuingilia, hata ungejibu text zake kuwa huna isingekuwa kitu, kwani alichokitaka ni kama alikuwa tayari amekipata.
Mwambie akale alikopeleka mboga shwain zake, asee mjina hauna ten hapo ambayo halina mawork???!!!
dah bi dada mimi figure yako tuKazi
Fanya kumsaidia tu mkuu, kwani 25,000 kitu gani bana
HahaaaMwambie akale alikopeleka mboga shwain zake, asee mjina hauna ten hapo ambayo halina mawork???!!!
Unge mpatia tuu ajione mjinga na hapo unaweza kuta siku hiyo hawakuwa hata na shs kumi ya msosi.
Akufaaaye kwa dhiki ndiye rafikiKuna msemo uliosemwa na mwanazuoni mmoja, nanukuu; 'Kupa ni kumpa akupaye, kumpa asiyekupa ni kutupa.'Hivi miezi saba ya nyuma, kuna dada mmoja nilimzimia kinoma nilikua nikifanya nae kazi nilifanya kila namna ya kutengeneza nae ukaribu, hadi tukawa tunachati na kidume nikatupa ndoano.
Demu akanichomolea na kudai kuwa, ana mpenzi wake ambaye wamepenga kuoana. Akaongeza na maneno ya kuniudhi zaid kuwa, hamna ninachokosa kwake hivyo, haoni haja ya mwanamume mwingine baada ya kuona yupo very strict na hataki, nikaamua ku give up sasa juzi nimeamka asubuhi, nikakuta missed calls zake 3. Nikampigia hakupokea.
Baada ya kama dk 15 hivi, akanitext, 'Mambo Mjina', nilipomjibu, akanitumia text ndefu ambayo nai-paste; 'Mjina, naomba nisaidie 25,000 nina shida nayo, naomba nisaidie jamani Mjina, najua huwezi kosa. Pls don't say no.'
Niliiangalia tu ile text na kusema hiiiii! Siku ijibu alivyoona kimya, akaanza nisumbua kunipigia na ma txt kibao sijajibu mimi. Nikajisemea kimoyo moyo, mwambie huyo husband to be akupe si ulisema hakuna unachokosa kwake.
Wadada mkitaka mpewe, aisee muwe mnatoa pia siyo mnabana kutoa alafu mnataka kupewa
Mjina Mrefu..
Hili nalo nenoMwanamke huwa hana njia ingine ya kukumbusha endapo ulimtongoza akakukatalia zaidi ya kukuomba hela, na ukimpa hawezi kurudishia, yaan hapo anakwambia ombi lako limepokelewa ss we zubaa