Huyu mwanamke hataki kufanya usafi

Huyu mwanamke hataki kufanya usafi

hayo ni masharti ya mganga wake ili umuoe,ukimuoa hutakiona tena hicho kichaka cha chini
 
Kanyoa toka mwezi wa kumi na mbili hadi leo?Huo sasa utakuwa msitu tena wa Congo.Hahifadhi chawa kweli?Hahaha kweli dunia ina mambo
 
Mwanamke Anaejitambua Anagomaje Kufanya Mausafi?? Alafu Usimwambiege Anyoe Huko Chini, Pengne Hapo Akuelewagi!!! Chini Sakafuni Au Mchangani?? Sasa, Hiyo Inshu Sio Sabbu Ya Ww Kumuacha, Kiukwel Minywele Hiyo Ikiwa Chaka, Inaboa!! Kaa Nae Umueleze Umuhimu Wa Kunyoa, Asipoelewa Itabidi Uwe Nae Tuu Hivyo Hivyo, Maana Hakuna Namna Tena!! Ila La Msingi Awe Anafanya Mausafi Ya Maana Ikibidi Awe Anaweka Na Black Nn Sijui....Ile Zinakua Nyeusiiiii Awe Anapulizia Na Kapafyumu....Mambo Kma Hayo Ila Sio Umuache. Ikishindikana Yote...., Nipe Mimi Tuu Huyo Maana Hakuna Namna Tena Nawe Aupendi Chaka Kuvumilia Auwezi. Alafu Ww Ndio Unaemjua Vizur, Unaweza Angalia Ambapo Unaweza Mbana Mpka Akaacha Ufugaji, Muhimu Isije Kuwa Anayo Idea Ya Kufuga Rasta....!!!!

asante kwa ushauri ila kukupa wew kizembe zembe tuu sahau mpaka anishide kabisa ndiyo nakupa
 
habari zenu waote jf

Nina mahusiano na mdada mmoja hiv ni mzuri na ni mdada anayejielewa ila sasa kinachonichanganya na kunipa maswali mengi yeye huwa hapendi kabisa kunyowa sehemu zake za siri kabisa yani mpaka unakuwa ugomvi ukimwambia kuwa nyowa huko chini.
Nakumbuka mara ya mwisho alinyowa mwezi wa kumi na mbili tena kwa kugombana sana na mimi ndiyo kanyowa
hiv mdada huyu anamanishaga nini? Au nini hasa sababu ya kugoma kunyowa ?
Naombeni msaada hata wa mawazo nimfanyeje? au niachane naye tuu ?

msaada jamani

Ndo walivyo hao warembo. Na mi wa kwangu nimempiga chini miongoni mwa sababu ni hizo. Lakini ni bonge la pini ila sasa usafi wa sehem nyeti ni balaa mpaka harufu. Kina dada jaman mnatia aibu. Mtu akikuona nae mnatoka anaona unafaidi kumbe upuuzi mtupu
 
Umalaya utakuua mpumbavu na lofa mkubwa. leo siku ya ibada unawaza umalaya. Ulaaniwe

Akili ndogo kabisaaaaa! Ibada yako inatuhusu nini sisi? Kilichokutuma kuingia jukwaa la mapenzi siku ya leo ulitamani ukutane na nini?
 
Ndo walivyo hao warembo. Na mi wa kwangu nimempiga chini miongoni mwa sababu ni hizo. Lakini ni bonge la pini ila sasa usafi wa sehem nyeti ni balaa mpaka harufu. Kina dada jaman mnatia aibu. Mtu akikuona nae mnatoka anaona unafaidi kumbe upuuzi mtupu

Daah pole mkuu..
 
Mwambie kama hataki kunyoa kabisa zote anyoe kidukwi hua kinapendeza sana.
 
Back
Top Bottom