Huyu mwanamke hataki kufanya usafi

Huyu mwanamke hataki kufanya usafi

Duuh!!!! Sijui nimesoma vibaya au nime elewa vibaya?

Umesema mdada anajielewa?

Mbona unayo ya lalamikia haya endani na mtu ane jielewa?😠
 
khaaa weekness ndogondogo hizi jaman mnaleta humu. kuna matatizo yanahitajika jadiliwa humu bahna alaaah
 
Ukiona hvyo anataka uwe unamsaidia kunyoa, km chumvn unaweza kwenda kwann ushindwe kumsaidia hyo kaz ndgo.. Muonyeshe mahaba
 
haaaa malaya ni wew na lofa ni wew mwenyewe ujajifanya mtu wa ibada mjinga kweli na una unaakili fupi kama mkia wa mbuzi

tena muulize km yeye anajua leo lbada na anaipenda sana kwnn mda huu hayupo kwenye lbada badala yake yupo mmu anapost asichokijua?
 
Kama uko down ndo ivo kwapani je kukoje ila uc mwambie kwa ukali mwambie kwa upole tuu ni jinsi gan unakwazika na hali hyo buana
 
haaa tangu mwezi wa kumi na mbili..??? sipatii picha huo muamazoni ulivyo...wepa picha basi tuone
 
Back
Top Bottom