We ni noma sanaWanawake baadhi i swear ni wapuuzi sana, .. Hapo anajua mtoto niwako. Ila kwaule wakat alikua keshafika chuo sasa ameshapata mtu wakumtomba kwaiyo njia pekee yaww kutompa usumbufu ilikua niyeye kukuambia jambo lakukuumiza .
Ndio maana alokuambia sio wako...
SASA DAWA YA MOTO NIMOTO.,, NAWW MWAMBIE UNAKUMBUKA ULISEMA MTOTO SIO WANGU??? NAMM MPAKA LEO NMEKAA KIMYA SABABU SINA UHAKIKA KAMA NIWANGU, NASIJUI UTAFANYA NN ILI NIAMIN NIWANGU ...hapa unakua kwanza umemkumbusha kitu akichokisahau, pili umetengeneza Ukuta wa yeye kushindwa kukupiga mizinga...tatu, unamzuia yeye kuanza kujirudi ,nne,,, umempa kazi kubwaa sana yayeye kukurudishia iman kua nimwanao.
Kuna demu, niliwah kua naye, sasa bwana, mimi nilikua mbali nayeye yupo mbali, siku moja ananiambia, "Am sorry fulan, nahis nmekukosea maana hapa njia pekee nikuniacha, mimi nina mimba" ......
Kiuhalisia mimba hakua nayo, ila alikua ananijulisha ironically kua "Ameshatombwa" .... Nikamwambia poa namm nimekuacha rasimi...
Katombwaa weeeeeew , baadae anakuja kunitext, " wee mwnamme mmbaya wee ,hata meseji? Toka nikutanie ninamimba ndo basi ?"..nilimpa jibu moja.
"Kwaiyo umeliwaaa weeeee ,umetemwa ndo umerudi??"... Toka siku iyo haishi vimeseji vya sorry baby.
Bila shaka wewe utakuwa Peter na hako kamalaya kako katakuwa MunaMiaka kadhaa iliyopita nimewahi kuwa na mahusiano na binti mmoja ingawa kipindi hicho nilikuwa nina mke wangu
Katika kudate kwetu nilimuweka wazi, kuwa ingawa tupo kwenye mahusiano ila ujue nina mke,akasema haina shida
Katika mahusiano yangu na yake tulifanikiwa kupata mtoto,ambapo hata kadi ya clinic jina la mtoto ,baba wa mtoto aliandikwa ni Mimi
Baada ya miezi tisa huyu mwanamke alienda masomoni,akiwa masomoni,kwa kweli alipunguza mahusiano na Mimi,awali amejiunga na chuo nilikuwa naenda kumuona ila baadae nikaona kuna dalili ya jamaa kuchukua nafasi
Nilipofuatilia mbona unafanya hivyo na tumezaa mtoto,akasema mtoto sio wangu,niachane nae
Ikabidi nikae pembeni,baada ya miaka 2, huyu mwanamke siku moja akanitumia SMS kuwa,"Baba fulani(jina la mtoto wake) hata kumjulia hali mwanao hamna,miaka hiyo yote jamani!
Nimeshindwa nimjibuje huyu mwanamke
Una ushauri mzuri ila lugha uliyotumia imejaa hasira na maneno makali. Inaonekana bado una hasira na huyu jinsia pinzani aliyekwambia kuwa ana mimba.Wanawake baadhi i swear ni wapuuzi sana, .. Hapo anajua mtoto niwako. Ila kwaule wakat alikua keshafika chuo sasa ameshapata mtu wakumtomba kwaiyo njia pekee yaww kutompa usumbufu ilikua niyeye kukuambia jambo lakukuumiza .
Ndio maana alokuambia sio wako...
SASA DAWA YA MOTO NIMOTO.,, NAWW MWAMBIE UNAKUMBUKA ULISEMA MTOTO SIO WANGU??? NAMM MPAKA LEO NMEKAA KIMYA SABABU SINA UHAKIKA KAMA NIWANGU, NASIJUI UTAFANYA NN ILI NIAMIN NIWANGU ...hapa unakua kwanza umemkumbusha kitu akichokisahau, pili umetengeneza Ukuta wa yeye kushindwa kukupiga mizinga...tatu, unamzuia yeye kuanza kujirudi ,nne,,, umempa kazi kubwaa sana yayeye kukurudishia iman kua nimwanao.
Kuna demu, niliwah kua naye, sasa bwana, mimi nilikua mbali nayeye yupo mbali, siku moja ananiambia, "Am sorry fulan, nahis nmekukosea maana hapa njia pekee nikuniacha, mimi nina mimba" ......
Kiuhalisia mimba hakua nayo, ila alikua ananijulisha ironically kua "Ameshatombwa" .... Nikamwambia poa namm nimekuacha rasimi...
Katombwaa weeeeeew , baadae anakuja kunitext, " wee mwnamme mmbaya wee ,hata meseji? Toka nikutanie ninamimba ndo basi ?"..nilimpa jibu moja.
"Kwaiyo umeliwaaa weeeee ,umetemwa ndo umerudi??"... Toka siku iyo haishi vimeseji vya sorry baby.
Tofauti na kuongeza mke naomba unitajie vitu/mambo mengine ambayo dini inaruhusu.Mipango ilikuwepo,kuwa dini yetu inaruhusu ,hapo baadae baada ya kumaliza chuo tungeoana maana na dini inaruhusu,ndo akafika chuo akabadilika
Miaka kadhaa iliyopita nimewahi kuwa na mahusiano na binti mmoja ingawa kipindi hicho nilikuwa nina mke wangu
Katika kudate kwetu nilimuweka wazi, kuwa ingawa tupo kwenye mahusiano ila ujue nina mke,akasema haina shida
Katika mahusiano yangu na yake tulifanikiwa kupata mtoto,ambapo hata kadi ya clinic jina la mtoto ,baba wa mtoto aliandikwa ni Mimi
Baada ya miezi tisa huyu mwanamke alienda masomoni,akiwa masomoni,kwa kweli alipunguza mahusiano na Mimi,awali amejiunga na chuo nilikuwa naenda kumuona ila baadae nikaona kuna dalili ya jamaa kuchukua nafasi
Nilipofuatilia mbona unafanya hivyo na tumezaa mtoto,akasema mtoto sio wangu,niachane nae
Ikabidi nikae pembeni,baada ya miaka 2, huyu mwanamke siku moja akanitumia SMS kuwa,"Baba fulani(jina la mtoto wake) hata kumjulia hali mwanao hamna,miaka hiyo yote jamani!
Nimeshindwa nimjibuje huyu mwanamke
Wanawake baadhi i swear ni wapuuzi sana, .. Hapo anajua mtoto niwako. Ila kwaule wakat alikua keshafika chuo sasa ameshapata mtu wakumtomba kwaiyo njia pekee yaww kutompa usumbufu ilikua niyeye kukuambia jambo lakukuumiza .
Ndio maana alokuambia sio wako...
SASA DAWA YA MOTO NIMOTO.,, NAWW MWAMBIE UNAKUMBUKA ULISEMA MTOTO SIO WANGU??? NAMM MPAKA LEO NMEKAA KIMYA SABABU SINA UHAKIKA KAMA NIWANGU, NASIJUI UTAFANYA NN ILI NIAMIN NIWANGU ...hapa unakua kwanza umemkumbusha kitu akichokisahau, pili umetengeneza Ukuta wa yeye kushindwa kukupiga mizinga...tatu, unamzuia yeye kuanza kujirudi ,nne,,, umempa kazi kubwaa sana yayeye kukurudishia iman kua nimwanao.
Kuna demu, niliwah kua naye, sasa bwana, mimi nilikua mbali nayeye yupo mbali, siku moja ananiambia, "Am sorry fulan, nahis nmekukosea maana hapa njia pekee nikuniacha, mimi nina mimba" ......
Kiuhalisia mimba hakua nayo, ila alikua ananijulisha ironically kua "Ameshatombwa" .... Nikamwambia poa namm nimekuacha rasimi...
Katombwaa weeeeeew , baadae anakuja kunitext, " wee mwnamme mmbaya wee ,hata meseji? Toka nikutanie ninamimba ndo basi ?"..nilimpa jibu moja.
"Kwaiyo umeliwaaa weeeee ,umetemwa ndo umerudi??"... Toka siku iyo haishi vimeseji vya sorry baby.
wajinga sana hawajui kizazi wanachotengeneza huko mbeleniWanawake wenyewe hawa wa kisasa? Wao ni fursa kila kitu
hao ndo wanawake bwana hawataki mchezo wanapofanya yao
miaka kadhaa nyuma nilikuwa na demu mmoja hivi yeye akiwa mwanafunzi alikuwa akija ghetto mara kwa mara,mi nakula tunda kavukavu,namalizia humohumo,ukatokea ugomvi mimi na yeye tukaachana,siku niko job mshikaji wangu tuliokuwa tukishea nae room ananifuata ananiambia yule demu kaletwa na kundi la akina mama,wananitafuta kwamba nimempa mimba mtoto wao,basi nikawa naishi kimachale,kimawenge kinoma yani kama kunguru,stori zikazagaa mtaani locci anatafutwa na polisi katia mimba mwanafunzi,nikaona hii ishakuwa soo ikabidi nikimbie kuogopa miaka 30 jela,lakini yule demu tukawa tunawasiliana nae hadi alipojifungua,ghafla mawasiliano yakapotea nakuja kukutana nae baadae namuuliza kuhusu mtoto ananiambia mtoto hakuwa wa kwangu khaaa!! nikadata ikabidi nimuulize sasa mbona mlikuwa mnanitafuta na polisi??alivyonijibu dah nilitamani nimzibue makofi!!akaniambia wewe elewa hivyo mtoto si wa kwako ana baba yake!!!nikapotezea ikabidi nimtafute yule msela wangu akaniambia yule demu kaolewa na jamaa mwingine na yule mtoto kapewa mshikaji!!